Msaada kuhusu kuprinti kitabu

bottleneck

Member
Oct 13, 2016
43
13
Habari wakuu.
Mimi nimeandaa Kitabu cha review kwa kidato cha pili lakini nimeshindwa kufanikiwa kuchapisha kitabu hicho kutokana na ukosefu wa fedha.
Hivyo nimejitokeza kwenye ukurasa huu kwa kampuni au mtu binafsi atakaye jitokeza aweze kunisaidia tuchapishe kitabu hiki kwa makubaliano maalum.
Kitabu hichi ni kizuri na kinauzika, kwa maelezo zaidi tuwasiliane inbox.
 
Back
Top Bottom