Msaada kuhusu kupima DNA

Msaada kuhusu kupima DNA

Habari,

Nina mtoto nimemlea kwa takriban miaka miwili hivi, nampenda sana uyu mtoto na ndo mtoto pekee nilienae kwa sasa ila njia ya mama yake na yangu zimeenda tofauti na kila mtu na maisha yake.

Kwa muda mrefu kidogo mtoto nlimpeleka kulelewa na bibi mzaa mama yake tena akiwa ananyonya baada ya mama yake kunitelekezea mtoto.

Nlimpa yule mama huduma zote za mtoto ikiwo bill ya maziwa na mahitaj mengine. Mtoto akaanza kusimama na kutembea akiwa kwa bibi nami nilimhudumia vizur tu.

Mama yake akaanza maneno kuwa mtoto sio wangu, akarudia na kurudia na kila nlipowashirikisha wazaz wake waliniambia nimblock kwakuwa ni hasira za kuwa mbali na mtoto kwakuwa japo alikutelekezea ila alipojua umemleta hapa nyumbani alimtaka mtoto ila tukamkatalia kwakuwa tumeshamwachisha nyonyo na kwamba mtoto aliletwa kwa maandishi kutoka serikal ya mtaa kwahiyo hawezi kutoka tena atakaa pale.

Basi nlipoambia ni hasira nkapuuza na kupuuza na kupuuza kila aliponitamkia hayo maneno.

Uvumilivu una kikomo, na ulikoma pale aliponitajia baba wa mtoto kwa jina kabisa na ni mwanaume ambae alishakuwa nae kimahusiano. Nikaacha kuhudumia vikaanza vikao visivyo na mwisho na visivyoeleweka na visivyo na suluhu. Nimesitisha huduma tangu mwez wa tisa.

Najiskia vibaya kutokumhudumia uyu mtoto hasa ikiwa ni wangu, ila ntajiskia vibaya kama ntahudumia mtoto sio wangu.

Naomba kwa anaejua gharama na taratibu za kupima DNA anijulishe mana hili swala ni gumu sana kwangu. Ikiwa gharama ni rafiki basi nikapime.

Asante
Kapime jaman usiuziwe mbuzi kwenye gunia
 
Kapime DNA hospitali kubwa za serikali wanatoa hiyo Huduma ila hakikisha unawaelezea ukweli wote usifiche kitu,

Maana ukionekana kama unapima DNA kwasababu umejisikia tu kufanya hivyo basi kwa Kuzuia ongezeko la watoto wa mitaani huwa wanakupa majibu kwamba mtoto ni wako hata kama sio wako,

Hivyo waambie kila kitu alichokuelezea mkeo hapo watakupa majibu sahihi maana uzuri ni kwamba Baba wa mtoto yupo.
 
Hata hizi hospital za mkoa naweza kupata kipimo hicho
 
Gharama ya DNA ni Wastani wa 150,000.....!

All in all kila kinachotokea Kwa Binadamu kina sababu.
Ipo sababu Kwa Nini umeachana na huyo Mwanamke.....!
Pia ipo sababu Kwa Nini umeletewa huyo Mtoto na Mungu ili Umtunze...!
Kwa ninavyofahamu gharama za DNA ni laki tatu kwa wote. Baba mama na mtoto. NA NI LAZIMA vipimo vifanyike kwa wote. Na vinafanyika kwa mkemia mkuu wa serikali, ofisi zake zipo kule nyuma ya ocean Road hospital barabara ya kuelekea Ikulu ya magogoni geti hili la nyuma.

Kuhusu utaratibu;
Unaweza fanya kwa mwanasheria au kwa amri ya Mahakama.

Asante.
 
Basi gharama zimepanda.
 
Habari,

Nina mtoto nimemlea kwa takriban miaka miwili hivi, nampenda sana uyu mtoto na ndo mtoto pekee nilienae kwa sasa ila njia ya mama yake na yangu zimeenda tofauti na kila mtu na maisha yake.

Kwa muda mrefu kidogo mtoto nlimpeleka kulelewa na bibi mzaa mama yake tena akiwa ananyonya baada ya mama yake kunitelekezea mtoto.

Nlimpa yule mama huduma zote za mtoto ikiwo bill ya maziwa na mahitaj mengine. Mtoto akaanza kusimama na kutembea akiwa kwa bibi nami nilimhudumia vizur tu.

Mama yake akaanza maneno kuwa mtoto sio wangu, akarudia na kurudia na kila nlipowashirikisha wazaz wake waliniambia nimblock kwakuwa ni hasira za kuwa mbali na mtoto kwakuwa japo alikutelekezea ila alipojua umemleta hapa nyumbani alimtaka mtoto ila tukamkatalia kwakuwa tumeshamwachisha nyonyo na kwamba mtoto aliletwa kwa maandishi kutoka serikal ya mtaa kwahiyo hawezi kutoka tena atakaa pale.

Basi nlipoambia ni hasira nkapuuza na kupuuza na kupuuza kila aliponitamkia hayo maneno.

Uvumilivu una kikomo, na ulikoma pale aliponitajia baba wa mtoto kwa jina kabisa na ni mwanaume ambae alishakuwa nae kimahusiano. Nikaacha kuhudumia vikaanza vikao visivyo na mwisho na visivyoeleweka na visivyo na suluhu. Nimesitisha huduma tangu mwez wa tisa.

Najiskia vibaya kutokumhudumia uyu mtoto hasa ikiwa ni wangu, ila ntajiskia vibaya kama ntahudumia mtoto sio wangu.

Naomba kwa anaejua gharama na taratibu za kupima DNA anijulishe mana hili swala ni gumu sana kwangu. Ikiwa gharama ni rafiki basi nikapime.

Asante
Kwanza pole San ndugu yangu,lakini mm nakushauri hyo pesa ya kulipa DNA achana nayo ipeleke kwa mtoto apate huduma zote,Amin mtoto ni wako2 maana mwanaume kulea mtoto asiye damu yake ni tangu enzi na enzi,hata yesu alilelewa na yusuph kama skosei wakat yusuph haya mfanya chochote huyo bikira Maria,lakini pia kama kuna uhitaji mkubwa San wakulima DNA achana na hizo za kizungu ni gharama San tumia za kikwetu niza uhakika sana na rahisi hazina hata gharama yaani bure kabsa
 
Nifahamishe kuhusu hiyo ya bure mkuu
 
Fafanua mstari wa mwisho
 
Hii mada nimeenda nayo mpaka page three nikisoma soma maoni mawili matatu kutoka kwa wadau naona kuna wengine walishakuwa kwenye situation kama hii.

So mimi nadhani mpaka tulipofikia tuhitimishe tu kwa kusema kwa wale wanaojisikia wito wa kuoa watafute wanawake “BIKRA” hii peke yake ndiyo salama yao,mitaa imejaa malaya sana usipoenda kwa akili kupigwa toto la ex's wa kimada wako sijui mkeo ni kugusa tu chap unakuta hili hapa.
 
Hupaswi kuamini chochote kutoka kwa mwanamke aliyemtelekeza mwanae akiwa mchanga.

Kama umeweza kumlea mtoto angali mchanga endelea kufanya hivyo, huenda riziki yako inatoka kwenye baraka za huyo mtoto.

Kama ukifanikiwa kupima na kugundua mtoto sio wako, usimtelekeze. Endelea kumpa huduma hadi atakapokua, Mungu anajua zaidi kwanini alimuweka huyo mtoto katika mikono yako.
Umenena vyema na kwa hekima sana, yeye aendelee kumlea mtoto aachaane na hasira za huyo mama. Inaonekana mama mwenyewe kapinda.
 
Itakuaje ikiwa sio wangu na ntakuwa nimepoteza gharama zangu zaid, na itakuwaje kama baba yake yupo kwel kama mama yake anavosema siku akija kumdai mtoto kila mtu atanigeuka kwakuwa nimeshaambiwa sio wangu nikakaza fuvu
Wewe lea mtoto hadi pale itakapothibishwa vinginevyo. Kwani unatumia milioni ngapi? mtoto kazaliwa ndani ya malango yako unataka akalelewe na nani? Hata DNA huna haja ya kupima, fanya kadri ya uwezavyo na hutokuwa na cha kupoteza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom