Msaada kuhusu kupima DNA

Msaada kuhusu kupima DNA

Hii mada nimeenda nayo mpaka page three nikisoma soma maoni mawili matatu kutoka kwa wadau naona kuna wengine walishakuwa kwenye situation kama hii.

So mimi nadhani mpaka tulipofikia tuhitimishe tu kwa kusema kwa wale wanaojisikia wito wa kuoa watafute wanawake “BIKRA” hii peke yake ndiyo salama yao,mitaa imejaa malaya sana usipoenda kwa akili kupigwa toto la ex's wa kimada wako sijui mkeo ni kugusa tu chap unakuta hili hapa.
Bikra wapo now days
 
Wewe lea mtoto hadi pale itakapothibishwa vinginevyo. Kwani unatumia milioni ngapi? mtoto kazaliwa ndani ya malango yako unataka akalelewe na nani? Hata DNA huna haja ya kupima, fanya kadri ya uwezavyo na hutokuwa na cha kupoteza.
Duu
 
Hupaswi kuamini chochote kutoka kwa mwanamke aliyemtelekeza mwanae akiwa mchanga.

Kama umeweza kumlea mtoto angali mchanga endelea kufanya hivyo, huenda riziki yako inatoka kwenye baraka za huyo mtoto.

Kama ukifanikiwa kupima na kugundua mtoto sio wako, usimtelekeze. Endelea kumpa huduma hadi atakapokua, Mungu anajua zaidi kwanini alimuweka huyo mtoto katika mikono yako.
Ushauri mzuri sana,ila Wanawake wengine Wana maudhi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom