Wadau,
Nataka kununua Trekta either kwa kuagiza Nje, au kununulia hapa hapa bongo, kuna mwenye kujua taratibu za importation?
Ni kweli Niki-import hakuna kodi bandarini (exempted) ??
Ni kodi zipi zipo exempted?
Na ni aina gani nzuri ya matrekta inayofaa?
Na kama nikiamua kununulia hapa bongo, wapi nitalipata kwa unafuu?
Kuna jamaa yangu kaniambia kua matrekta ya KILIMO KWANZA yaliyopo pale Mwenge Jeshini mengi ni feki.