744FE ni 24.5Ml na 855FE ni 26.5Ml na kuna 735XM ni 22.5Ml
Thank's alot mkuu.Swaraj ni kati ya trekta imara na zinazodumu sana...personally nazikubali sana.
744FE ni 24.5Ml na 855FE ni 26.5Ml na kuna 735XM ni 22.5Ml
Call me ninalo 0652 399661
Mf 290 4wdjamani, kati ya mf 290 4WD, na MF 165 2WD ipi nzuri aisee??
pamoja kamandaMf 290 4wd
Ova
Ukiwa tayari nitakunganisha na jamaa anazo mbili moja mf .....nyingine valmet ziko kigamboni kazitoa scandinaviapamoja kamanda
Ukiwa tayari nitakunganisha na jamaa anazo mbili moja mf .....nyingine valmet ziko kigamboni kazitoa scandinavia
Ova
Bajeti ya kirikuu hiyoWadau humu ndani habari zenu, hili suala limenigusa nahitaji kwa ajili ya kusombea mbao msituni huku njombe kwetu. majibu ya SHAKIR yatanipa mwanga. kabajeti kangu mil 5 tu !
Bajeti ya kirikuu hiyo
Mln 26Anauza shiling ngap maana nilishaanza kufanya mawasiliano na supplier mmoja hvi UK pamoja na harrow na disc plough na trailer lake kabisa.
jaribu aappsa.orgAnauza shiling ngap maana nilishaanza kufanya mawasiliano na supplier mmoja hvi UK pamoja na harrow na disc plough na trailer lake kabisa.
jaribu aappsa.org
niliona wanauza matractor used lakini ya bei ndogo wenda ukapata mwanga zaidi.
Hapa ni karibu tu South africa, unaweza kuimport
Hawa aappsa.org wanaaminika?? Je kuna yoyote ambaye alishawahi kununua kutoka kwao, na alipata bila tatizo??jaribu aappsa.org

Vipi ndugu uliwajaribu AAPPSA??Sawa ndugu
Thanks kaka, je unaweza kuituma namba yake?? Nafikiri ni kwa biashara si mbaya ukiituma... Nimtume kijana kesho akaangalie... Otherwise ni PM kaka mkubwaKuna jamaa yngu mmoja anaitwa dullah Yuko manzese anauza trekta nzuri na bei zake Syo pasua .......Ana ford na Massey model nyingi tu
Ova
Ni pm # zakoThanks kaka, je unaweza kuituma namba yake?? Nafikiri ni kwa biashara si mbaya ukiituma... Nimtume kijana kesho akaangalie... Otherwise ni PM kaka mkubwa