Msaada kuhusu Kufunga Kesi Polisi

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Habari wakuu?!
Mie sina uzoefu sana na masuala ya sheria naomba msaada. Kuna mtu nilikuwa namdai nikampeleka polisi. Polisi wakaomba hela ya kumkamata kuwa ni hela la mafuta. Nikatoa mdaiwa akakamatwa akawekwa lumande. Ndugu zake wakamdhamini na kuahidi kunilipa hela yangu. Siku ya malipo imekalibia na mdaiwa kashapata pesa yangu inabidi twende polisi kulipana. Sasa napokea taarifa kuwa ili tumalizana na jalada lifungwe, inatakiwa mimi(mdai) nitoe shilingi laki moja na yeye(mdaiwa) atoe shilingi laki moja jumla ziwe laki mbili ili polisi wafute jalada.
JE NDIVYO SHERIA ILIVYO KUWA ILI POLISI WAFUTE JALADA INABIDI KUTOA HAYO MALIPO??
 
Mmmmhhhh... Laki moja.? Hapana japo sijakutana na hiyo scenario ni actual clues but as a lawyer nadhani hiyo ni pesa nyingi sana though ni kazi ya askari ku arrest but its a CIVIL litigation not CRIMINAL one, hapo ina maana linashughulikiwa privately by parties, anyway may be kama kuna sheria mpya inayosema hivo but kwa my view hapo kuna kitu sio sawa.
 
Asante Mkuu. Hata mie nimewaza ni hela nyingi nikaona nije kupewa mawazo kabla ya kwenda polisi
 
nendeni kwa mkuu wakituo mkamueleze nyie mmepatana na kwa.amani mmekubaliana nje ya mahakama upelelezi unafungwa ni bure kabisa na ni njia ambayo kila mwenye akili anaipenda
 
Asante kwa ushauri mzuri
 
Habari wakuu?!
Mie sina uzoefu sana na masuala ya sheria naomba msaada. Kuna mtu nilikuwa namdai nikampeleka polisi. Polisi wakaomba hela ya kumkamata kuwa ni hela la mafuta. Nikatoa mdaiwa akakamatwa akawekwa lumande. Ndugu zake wakamdhamini na kuahidi kunilipa hela yangu. Siku ya malipo imekalibia na mdaiwa kashapata pesa yangu inabidi twende polisi kulipana. Sasa napokea taarifa kuwa ili tumalizana na jalada lifungwe, inatakiwa mimi(mdai) nitoe shilingi laki moja na yeye(mdaiwa) atoe shilingi laki moja jumla ziwe laki mbili ili polisi wafute jalada.
JE NDIVYO SHERIA ILIVYO KUWA ILI POLISI WAFUTE JALADA INABIDI KUTOA HAYO MALIPO??
Manakosea sana polis sio mahakama ila wanajigeuza mahakama siku zote kwa wasio jua haki zao.. wewe siku nyingine andaa kesi mahakamani sio polis na hiyo ni kesi ya madai wala si jinai unawezaje kumpeleka mtu centro tena anaweza kukugeuzia kibao.. cha kufanya we waambie umeshalipwa.. ko hunakesi na huyo mtuu ondoka zako wandee lee kumshikili. Watamfungulia kesi gani. kwani upo wapi
 
Wilaya ya Bunda
 
Abandon The Case. Telekeza Tu. Wenyewe Wataona Wanapoteza Muda Tu Kufuatilia.
 
Asante Mkuu. Hata mie nimewaza ni hela nyingi nikaona nije kupewa mawazo kabla ya kwenda polisi
Hata kama hujui sheria lakini usiwe mzembe kiasi hiki.

Kama mmeshalipana Polisi achaneni nao endeleeni na maisha yenu.

Polisi wenyewe hawa wa kuamrishwa na Bashite?
 
Attachments

  • VID-20170329-WA0004.mp4
    1.9 MB · Views: 30
Back
Top Bottom