Msaada kuhusu kiinua mgongo kwa Private Sectors

Msaada kuhusu kiinua mgongo kwa Private Sectors

nemnunu

Member
Joined
Jun 4, 2019
Posts
74
Reaction score
64
Hello, natumai wote ni wazima.

Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi?

Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa kanuni hiyo kiinua mgongo ni kama shilingi ngapi?

Naombeni mwenye kujua tafadhali.
 
Chukua laki tatu gawanya kwa 10 afu zidisha mara 365 icho ndo Kiinua mgongo chako
 
Hello, natumai wote ni wazima.

Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi?

Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa kanuni hiyo kiinua mgongo ni kama shilingi ngapi?

Naombeni mwenye kujua tafadhali.
Nafikiri ni 30000 gawanya kwa siku 30 mfano so i 10k kwa siku so kama umefanya kazi miaka 10 basi wanachuku 100,000 ambayo ni sawa na pay ya 10days na kuzidisha kwa miaka 10 which is 700k.Wataalamu zaidi watakuja
 
Utapata ⅓ ya mshahara, ukitumikia miezi kuanzia 180 sawa na miaka 15
 
Back
Top Bottom