Msaada kuhusu jinsi ya kuappeal

Msaada kuhusu jinsi ya kuappeal

DEO mmasy

Member
Joined
Sep 28, 2016
Posts
11
Reaction score
4
Jamani naomba maelekezo jinsi ya kuappeal mkopo kuna sehemu ya kuingiza password alafu kuna sehemu ya security code sasa apo kwenye security code unaweka nn?
 
Jamani naomba maelekezo jinsi ya kuappeal mkopo kuna sehemu ya kuingiza password alafu kuna sehemu ya security code sasa apo kwenye security code unaweka nn?
Kuna herufi mixer na namba wanakuwekea hapo chini ndo uziingize km security code.
 
Back
Top Bottom