Msaada Kuhusu iPhone

Msaada Kuhusu iPhone

Dasilva

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
85
Reaction score
14
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
 
Hapo hakuna ujanja, ni kurudisha kwa aliyewauzia.
 
mwambie amrudishie mwenye simu mapema kabla hawaja mtrack na kumgeuzia kibao kuwa yeye ndiye kaiba
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.

Poleni sana. Yeye amtafute aliyemuuzia
 
Mtafute mwenye simu haraka kisha afute kila kitu chake. Kwa namna hiyo, mtumiaji mpya ataanza kufanya set-up kama vile kainunua yeye!
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.

Waweza kuta ni ya kwangu nikampunguzia hasara...!!
Kwani yeye Aliuziwa wapi??
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
Izime uitupe chooni kwasababu utakamatwa muda wowote kuanzia sasa ohooo umezoea vya kukwapua lakini kwa iphone 5 hapo umefika
 
Angalia mwenye simu hiyo huenda aliuwawa hivyo ukijiongezea majanga yasiyo ya lazima.
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
mkuu Tupa hiyo simu uingie mitini Hilo ni janga unajitafutia
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.

mi nilipigwa iphone 5 gb 32 na nyeusi na mwana jamiiforum ni muda kidogo sikuwa na hofu coz nilikuwa nimelog in kwenye icloud nilichofanya ni kubonyeza lost mode kwenye icloud account yangu.na imekuwa iko offline kwa muda itakuwa ndo iyo umeuziwa kama email inaishiwa na mack@gmail.com ni yangu nirudishieni nitawapeni hela kidogo ya kula ila mkipenda namba za cm izazokuomba uipigie ni 0765581885 ni mimi ila namba nayo tumia saivi ni 0757978499 kazi kwenu niko serengeti mkoani mara kuibiwa iliibiwa dar.
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.

a37WwFCSlOHQklsUAAAAABJRU5ErkJggg==
 
Kila siku mnaambiwa iPhone mziki mwingine huo. Hapo huchomoki, ama uitupe au uirudishe kwa mwenye ID
 
Back
Top Bottom