Msaada Kuhusu iPhone

Msaada Kuhusu iPhone

Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
up1iSjAAAAAElFTkSuQmCC
 
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.

Ndio maana nawakubali sana Iphone!! ivi mkuu itakuaje hiyo simu ukishikwa nayo alafu waseme mwenye nayo aliuliwa na majambazi na kuibiwa milioni 100!!! je hapo utachomoka mkuu???hiyo ni mali ya wizi, rudisha kwa mwenye nayo!!!
 
Baab mnunuzi ndo mwenye maamuzi kaweka ngumu anataka aendelee kuhangaika nayo hadi kieleweke, na ofcz hamjui wala hataki kumjua mwenye nayo, so its up to him thre is nothing I can do.
 
Kiufupi hakuna anachoweza fanya kwenye Hilo ila anaweza kukaanayo kama urembo. Iphone 5 na kuendelea wameziprotect na iCloud for security reasons. Pia huwa nawashangaa watu wanaonunua iCloud locked iPhones hata kwa bei rahisi kiasi gani! Pole bro labda endelea kuitunza mpaka itakapokia toleo la iPhone 10s wanaweza release hizo zilizolokiwa!!!!
 
Mkuu habari ya mwaka mpya. Mimi kuna MTU anataka kuniuzia IPhone 4s toka south Afrika . nikiweka chip inakuwa inasearch pasipo kukamata mtandao je ? Hilo laweza kuwa tatizo gani ? Au ndiyo yahitaji Ku unlock ?
 
Back
Top Bottom