Inakuaje PC ina resolution 1440 screen yake but graphics card yake ni intel HD

Inakuaje PC ina resolution 1440 screen yake but graphics card yake ni intel HD

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Nilikua naomba kuuliza hivi inakuaje pc ina resolution 1440 screen yake but graphics card yake ni intel HD graphic hii imekaaje wadau je nitaweza kuu upgrade graphics?

hii ni laptop sio desktop.
chief mkwawa
 
As far as i know huwezi kuupgrade graphics ya laptop labda kuupdate ili graphics memory ifikie maximum ya hiyo iliyopo
 
Nilikua naomba kuuliza hivi inakuaje pc ina resolution 1440 screen yake but graphics card yake ni intel HD graphic hii imekaaje wadau je nitaweza kuu upgrade graphics?

hii ni laptop sio desktop.
chief mkwawa
laptops huwz badilisha gpu. ingekuwa desktop sawa.
 
mkuu sio kila intel HD graphics ni kimeo zipo zenye u afadhali. na kama mpaka wameeka kioo chenye pixel nyingi hivyo (2k) basi itakuwa ni gpu ambayo ni capable.

nenda mycomputer kisha right click kisha properties ni aina ya cpu inayo hio laptop? nitajie jina full.
 
intel R core i5 M520@ 2.40Ghz
 
jaribu kueka internet na kuzi update.

maana kwa uelewa wangu haimake sense ku pair first generation na kioo cha QHD.
ata mimi mkuu ndo mana nimeshangaa sana imekuaje kioo cha 1440 kuwa na gpu na intel hd graphics?.
 
jaribu kueka internet na kuzi update.

maana kwa uelewa wangu haimake sense ku pair first generation na kioo cha QHD.
hyo mkuu angalia kioo chakee
20180522_153345.jpg
 
sawa ila kioo cha nchi 14.1 kinawezaje kuwa na resolution kubwa hvo chief sema hii naona inasapoti doc station
sio kubwa hio mkuu.

simu kama s8 zina QHD 2560X1440p na kioo chake ni kidogo tu.

pia laptop/Tablets za highend zina 4k kabisa ambayo ni resolution kubwa zaidi ya mara 5 ya yako.

hapo hujatafuta vitu kama VR vioo vyake vidogoo ila resolution kubwa.
oculus-rift-cv1-display-1021x580.jpg

unakuta hako kakioo kana 2160x1200.
 
Back
Top Bottom