Kuongezea
HD 2500/3000 hio ni gen ya 2
Hd 4000 ni gen ya 3
Hd 4400/4600 ni gen ya 4
Hd 5500 ni gen ya 5
Hd 520/530 ni gen ya 6
Hd 620/630 imetumika kote kuanzia gen ya 7 mpaka ya 10.
Xe graphics zinakuja gen mpya baadae mwaka huu zina nguvu kama dedicated graphics.
Pia gen ya 10 zipo za aina mbili kuna comet lake inayotumia HD 620/630 na ice lake yenye gpu kali sema upatikanaji wa tabu.
Kwenye huo mtiririko jinsi gen ilivyo kubwa ndio jinsi hio intel HD inavyokuwa na nguvu kasoro gen ya 4 kwenda ya 5. Ya 4 ina nguvu kushinda ya 5.
Kwa matumizi ya kisasa angalau hd520 ama 620 zinakidhi, vitu kama video za 4k ama games zitacheza kwa low quality.
Ukikosa kabisa angalau hio hd4600