kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
Habari wanajamvini... samahani rafiki yangu ameniuliza swali nimeshindwa kumjibu nikaona sio vibaya nilete hapa mtusaidie....
alikuwa kwenye danger akasex baada ya hapo siku ya tatu baada ya sex usiku akanywa dawa hizo màana walisema 72 hrs maana (siku tatu) sasa kesho yake akasex tena na ilikuwa bado yupo kwenye danger data na jamaa alimwaga ndani sasa anauliza je alivyokunywa zile dawa zinaweza kuzuia asipate tena mimba au anywe zingine ???
Nimeshindwa kumjibu maana mie mwenyewe sio mtaalamu sana wa hizo dawa... tumsaidie huyu binti