Msaada kuhusu hii desktop

Msaada kuhusu hii desktop

Dah mkuu kweli hiyo Titan x pescal ipo vizuri saa nyingine inasukuma GTA 5 hadi fps 80 kweli ipo ivizuri
Tatizo la nvidia na intel bei ni kubwa sana ukilinganisha performance. Napenda sana wapate competition kutoka amd. i hope labda vega gpus na zen processors zinaweza kupunguza makali.
 
haina uwezo huo yenyewe labda ui upgrade.

kama unapenda kucheza games tafuta yenye i5 2500 halafu inunulie na gpu kama gtx 750ti vyote hivi vitacost around 700,000
Mkuu je naweza ku-upgrade gpu ya pc yangu kama hivyo ulivyoelekeza? DELL LATITUDE E6410 corei5 m560 64bit
 
Tatizo la nvidia na intel bei ni kubwa sana ukilinganisha performance. Napenda sana wapate competition kutoka amd. i hope labda vega gpus na zen processors zinaweza kupunguza makali.

kuna rumors baadae mwaka huu kutatoka cpu za intel zenye graphics za radeon.

na kuhusu intel kuanzia skylake na sasa hivi kabylake pentium zimeanza kuja na hyperthread, kwa around dola 60 unapata cpu yenye thread nne na single score perfomance ya kutosha na kama zitakuwa na block overclock inamaana games karibia zote duniani unacheza. wakati cpu za amd za bei hio games kibao zinazohitaji single thread perfomance hutacheza

na vifaa vya amd vinakula sana umeme, mfano wewe una gtx 750ti idle ni chini ya watts 10 na TDP yake ni 60w wakati gpu za amd za category hio zote zinazidi watts 100 hivyo longrun baada ya mwaka utalipa zaidi umeme kwenye Amd tofauti na ukienda Intel+nvidia combo.
 
Yeah ni kweli Amd vinakula umeme ila sasa kidogo wameimprove check mpambano hapa kati ya gtx 1050, 1050 ti,rx 460 na Rx 470.
The Best sub-$200 graphics card – GTX 1050 Ti vs. RX 470 / RX 460 4GB
 
anapanda gari za kariakoo, akifika sokoni mwisho wa gari aende aggrey wanapouza simu ni maarufu hata akiulizia ataambiwa, akifika hapo mtaa wa pili ndio una hilo kanisa siujui jina, ila ni kanisa la KKKT hilo duka linaangalizana na kanisa. ni duka kubwa sana la desktop nyengine zipo hadi nje
nadhani unazungumzia duka la mchaga mmoja linaitwa kaale computers.
 
yah si unaona sasa hapo kwenye power consumption? rx 470 almost ime double gtx 1050.

na perfomance vile vile hazijatofautiana sana kutokana na bei
-$170 rx 470
-$140 1050ti
-$110 1050ti
-$100 rx460

ukiangalie bei na perfomance ni sawa sawa
Wazee napata wapi hiyo rx 470? I need a graphics card
 
mkuu kibongo bongo ram za 4gb ni ghali sana compare na ram mbili za 2gb. angalia desktop yako ina slot ngapi kama zipo mbili kupanda ni bora ununue ram nyingi za 2gb.

kwa ddr3 ni 15,000 sijui ddr2 bei exactly ni ngapia ila nakushauri nenda machinga complex kule hutakosa. pia hdd za ide cheki huko huko
Mweleweshe pia ukiweka ram 2 zenye zeny clck speed touti ni uaeless..ie 2 gb with 1600mhz na 2gb with 2600mhz
 
Mweleweshe pia ukiweka ram 2 zenye zeny clck speed touti ni uaeless..ie 2 gb with 1600mhz na 2gb with 2600mhz

mkuu ukiweka ram mbili zenye frequency tofauti automatic pc itapunguza frequency za ram kubwa ili iendane na ndogo.

mfano una ram ya 1800mhz na 1300mhz automatic zote zitakuwa 1300mhz na zitafanya kazi zote
 
Ila waga hata performance ina affect sana kwny games
 
Ila waga hata performance ina affect sana kwny games
kama huna dedicated gpu ndio itaathirika sababu gpu ya ndani hutumia ram, ila kama una dedicated gpu games zinatumia vram ya gpu ambazo mara karibia zote zina speed zaidi.

na ddr4 haijalishi una gpu au huna perfomance itashuka
 
Asante kwa msaada but mimi niko mikoani huku. Nina ka desktop kangu ka NEC (all in 1) kanatumia hdd ya ide ya laptop (30gb) na kana slot 2 za DDR2.
Sasa nataka nikafufue.
Hdd zipo kwa bey nafuuu xaana kuanzia 320GB-1TB welcome
 
bora uagizie online mkuu, maana bei za gpu bongo ni kubwa sana gpu ya laki 2 inauzwa laki 5
unachosema mkuu ni kweli kabisa kwamba gpu zinazouzwa online ni bei rahisi sana hasa kwenye www.aliexpress.com kwa mfano hii apa gaming gpu haifiki hata laki2
Capture22.PNG
 
kama huna dedicated gpu ndio itaathirika sababu gpu ya ndani hutumia ram, ila kama una dedicated gpu games zinatumia vram ya gpu ambazo mara karibia zote zina speed zaidi.

na ddr4 haijalishi una gpu au huna perfomance itashuka
Mkuu samahani kwa usumbufu,ninaweza nikapata program ya PC inayoweza ku-recover ma-file yaliyopotea,ambayo haitaji kulipia mfano nilipata hii ‘EaseUs data recovery' lakini nilishindwa kuitumia kwa sababu inahitaji ilipiwe,kama kuna site au link unaifaham itakuwa msaada kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom