h120
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,545
- 3,367
desktop nzuri hii kama mtu yupo serious, am not sure ni i7 ipi ila hizo clock speed itakuwa ni nzuri
Dell (Core i7, HD 500, Processor 3.5, RAM 8gb) Dar es640976
Hizi desktop ni nzuri ila changamoto ni PSU zake ni ndogo (290W), halafu kuzibadilisha ni mtihani, power connector ya motherboard ni 8 pin, tofauti na hizi za kawaida tulizo zizoea na zinazopatikana kwa urahisi za 24pin.
Motherboard yake hii.
Za kawaida
Kuna mtu namfahamu aliuza hiyo mashine kwa kushindwa kupata PSU kubwa.