HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
Yah niliona video yao ya launching. Gamers wengi wa budget tunavizia 700 series na 900 series zishuke bei maana hiyo series mpya bei zake ni ishu hasa kwetu bongo. Ila hii new akitekcha ni balaa sijui amd watajibu nini na polaris yao. Hebu tuone.online siku hizi ni dola 100 tu kwa 750ti,
na nvidia wameshaanza kuzindua series zao mpya za 1xxx series imetoka 1080 na 1070 mpaka sasa hivi, sio mchezo hio 1070 tu nimeangalia benchmark zake zilizoleak imeipita hadi titan x, hali hio imepelekea gpu za mwaka jana kushuka sana bei sababu hazina thamani tena. ikitokea nvidia akizindua gpu kama 750ti isiokula sana umeme ujue hizi 750ti tutaziokota ebay kama takataka. siku nzuri zinakuja muda si mrefu