Hahahahaha kukesha kawaida nimeweza advance hku cjui hkoUnaweza kukesha??
samahani kwa division two ya 12 pcb anaweza pata?Bachelor of Veterinary Medicine ni program ya miaka 5 inayotolewa SUA (prospective College of Veterinary and Medical Sciences) SUA. Ajira ziko za kueleweka na hata ukitaka kujiajiri inawezekana bora uwe na mtaji. Kama program nyingine yeyote unatakiwa uwe serious na masomo yako. Ukilinganisha na program nyingine uwe tayari kufanya kazi (darasani na practicals) kwa muda mrefu-free periods ni chache. Walimu wake wako serious to very serious-ni ngumu kiasi lakini inawezekana.Unaanza na Biomedical sciences, halafu paraclinical sciences na mwisho clinical courses and Public health. Mwaka wa mwisho unafanya special project (utafiti) na semester ya mwisho ni field attachment. Kila mwaka kuna field practicals.
Yap unaweza pata ila usharobaro ndoto kwa BVM. Ukikomaa unatoboa tu.samahani kwa division two ya 12 pcb anaweza pata?
ahsanteYap unaweza pata ila usharobaro ndoto kwa BVM. Ukikomaa unatoboa tu.
atkuwa amekosea kuandika may be alimaanisha Veterinary medicine na si veterani lakini hongera sana kwa kuelezea maana ya hilo lako: naamini aliye kosea kuandika atakuwa makini wakati mwingine.VETERAN by definition;-
A person with long experience of a particular activity.
OR
A person who has served in the armed forces, especially an old soldier who has seen long service.
Sasa wewe unataka kusoma digrii yake.
sikiliza na elewa ufundiswacho kukesha inategemea na uwezo wako: usimpanikishe kijana !!Unaweza kukesha??
Ok pouwa ndguww kakaze t VET ipo vzr msul mnene
Ahahaaaaah..!VETERAN by definition;-
A person with long experience of a particular activity.
OR
A person who has served in the armed forces, especially an old soldier who has seen long service.
Sasa wewe unataka kusoma digrii yake.
Karibu naingia mwaka 5 sasa utatukuta kaka zako
Kama unakichwa cha kisharobaro sikushauri uende huko!!!wakuu nimejaribu kuchagua hii kozi ya BVM i mean bachelor of veteran medicine pale SUA.
Je hi kozi inakuaje hapa tz kwani nahtaji kuingia huko.
Na je ajira zake zipo za kueleweka ama unaweza kujiajiri mwenyewe katika maisha baadae au ni lazima uajiliwe??
Kichwa cha kisharobaro kikojeKama unakichwa cha kisharobaro sikushauri uende huko!!!
Pouwa sana kaka wangapi wanaweza mmi nishindwe kka ila uninitisha vibaya yaan
Hahahahahaaaa kuitwa daktari si lelemama mkuu lazma kijasho kikutokePouwa sana kaka wangapi wanaweza mmi nishindwe kka ila uninitisha vibaya yaan
Umefaulu test one maana hujui usharobaro, yet kama unajihisi kichwa chako kiko lelemama badili njia mapema...huko sio ccm na makufuli wake..Kichwa cha kisharobaro kikoje