Msaada kuhusu hii BVM

Msaada kuhusu hii BVM

said duse

Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
98
Reaction score
10
wakuu nimejaribu kuchagua hii kozi ya BVM i mean bachelor of veteran medicine pale SUA.
Je hi kozi inakuaje hapa tz kwani nahtaji kuingia huko.
Na je ajira zake zipo za kueleweka ama unaweza kujiajiri mwenyewe katika maisha baadae au ni lazima uajiliwe??
 
As long as bachelor of VETERINARY Medicine is concerned, karibu darasani.
 
Msaada ndugu nachotaka kujua ni wanahudikaje na wapi wanaajiliwa kama ajira na je naweza kuniajiri pia
 
wakuu nimejaribu kuchagua hii kozi ya BVM i mean bachelor of veteran medicine pale SUA.
Je hi kozi inakuaje hapa tz kwani nahtaji kuingia huko.
Na je ajira zake zipo za kueleweka ama unaweza kujiajiri mwenyewe katika maisha baadae au ni lazima uajiliwe??
Karibu naingia mwaka 5 sasa utatukuta kaka zako
 
Yani ukipata iyo kozi jipange sana misuli mirefu yaukichaa.... Ajira usiulize ukishachaguliwa bcushaweza maisha kikubwa ukatoboe maana sua pagumu.... Iyo ni udaktari wamifugo
 
wakuu nimejaribu kuchagua hii kozi ya BVM i mean bachelor of veteran medicine pale SUA.
Je hi kozi inakuaje hapa tz kwani nahtaji kuingia huko.
Na je ajira zake zipo za kueleweka ama unaweza kujiajiri mwenyewe katika maisha baadae au ni lazima uajiliwe??
Haaa hapo poa sana. Karibu dunia yetu.
Siku hizi hakunaga wakina mama pere* a na * mbarage ni mteremko tu.
Future yake ni certainly..
Hutakosa hela ya mboga asilani..
 
Bachelor of Veterinary Medicine ni program ya miaka 5 inayotolewa SUA (prospective College of Veterinary and Medical Sciences) SUA. Ajira ziko za kueleweka na hata ukitaka kujiajiri inawezekana bora uwe na mtaji. Kama program nyingine yeyote unatakiwa uwe serious na masomo yako. Ukilinganisha na program nyingine uwe tayari kufanya kazi (darasani na practicals) kwa muda mrefu-free periods ni chache. Walimu wake wako serious to very serious-ni ngumu kiasi lakini inawezekana.Unaanza na Biomedical sciences, halafu paraclinical sciences na mwisho clinical courses and Public health. Mwaka wa mwisho unafanya special project (utafiti) na semester ya mwisho ni field attachment. Kila mwaka kuna field practicals.
 
Hakuna mteremko uwe tayari kuwajibika tu.
 
Yani ukipata iyo kozi jipange sana misuli mirefu yaukichaa.... Ajira usiulize ukishachaguliwa bcushaweza maisha kikubwa ukatoboe maana sua pagumu.... Iyo ni udaktari wamifugo
Pouwa sana kaka wangapi wanaweza mmi nishindwe kka ila uninitisha vibaya yaan
 
Ok pouwa kka eti ni kweli watu wqnavyosema huwa watu wanasoma miaka saba badala ya mitano
Miaka ni mitano but ukizingua I mean uki retake utaeza soma hiyo Saba... But kwann ufikirie kusoma miaka7 wakati ukijituma ipasavyo unamaliza bila shida
 
Bachelor of Veterinary Medicine ni program ya miaka 5 inayotolewa SUA (prospective College of Veterinary and Medical Sciences) SUA. Ajira ziko za kueleweka na hata ukitaka kujiajiri inawezekana bora uwe na mtaji. Kama program nyingine yeyote unatakiwa uwe serious na masomo yako. Ukilinganisha na program nyingine uwe tayari kufanya kazi (darasani na practicals) kwa muda mrefu-free periods ni chache. Walimu wake wako serious to very serious-ni ngumu kiasi lakini inawezekana.Unaanza na Biomedical sciences, halafu paraclinical sciences na mwisho clinical courses and Public health. Mwaka wa mwisho unafanya special project (utafiti) na semester ya mwisho ni field attachment. Kila mwaka kuna field practicals.

Una uandishi flani uliotukuka, usiniulize kwanini
 
Back
Top Bottom