Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,307
- 1,583
Hivi karibuni niliagiza bidhaa kutoka nje ya nchi,nashukuru imefika salama,nimepewa gharama za kodi za mashine husika na cost za delivery order. Kulichonistua ni hapa kwenye gharama za delivery order, wakala anahitaji zaidi ya dola 250,kwakweli hili limenistua sana maana hiko kiasi kinazid hata cost za CIF,sina uzoefu na haya mambo ila naamini iki kiasi kimekuzwa sana,naombeni ushauri wenu,ni kwa namna gani naweza kupata gharama halisi za D.O