Tatizo linatokea pale ninapo Anza kucheza maana nikicheza mechi 3 au 2 game linaanza kuwa zito au kustak au kabisa kuzima mda mwingine ukilifungua Lina ishia njiani Kisha kuzimaHili tatizo linatokea punde tu unapodownload ama unacheza kwanza halafu ndio linatokea?
Umejaribu kuclear cache?
Nenda setting kisha App halafu angalia angalia kwenye options hizo utaona mahala pa kuclear cache, jaribu uone kama Itasaidia.Tatizo linatokea pale ninapo Anza kucheza maana nikicheza mechi 3 au 2 game linaanza kuwa zito au kustak au kabisa kuzima mda mwingine ukilifungua Lina ishia njiani Kisha kuzima
Ok mkuu ngoja nijaribu hivyoNenda setting kisha App halafu angalia angalia kwenye options hizo utaona mahala pa kuclear cache, jaribu uone kama Itasaidia.
Kwa android za kisasa unaweza tu ukahold icon ya app kisha chagua info (kialama cha i) itakupeleka moja kwa moja kwenye hio menu.
Nunua simu yenye RAM kubwa kama unapenda magemu,ram ya 1 huwezi cheza heavy gamesSimu yangu Ni Infinix smart4 Ila niki download game ya dream league ukicheza utakuta Ina stuck au game kuzima kabisa sijajua shida Ni Nini msaada jamani?
Hahahahabadili simu,siyo kila simu imetengenezwa kuweza kucheza game kama hilo
waambie na wenzio wanaotumia tecno BmwQ7