Msaada kuhusu FIFA 17 laptop Game

Msaada kuhusu FIFA 17 laptop Game

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
811
Reaction score
1,312
Mwenye hili game la fifa 17 linaloweza kuchezeka kwenye pc au laptop tafadhali saaaaaana naomba anisaidie.... Nipo dar kwa leo tuuu kesho narud kijijini uko... Naomben msaada wenu jamani hata kama ni ela ntatoa tuu ili nilipate.... Asanten
 
Back
Top Bottom