Princ
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 285
- 91
Habarizenu wana JF
Naombeni ushauri nikampuni gani nzuri ya kufanyia field coz soon natarajia kufanya ivo, nasoma Zanzibar, nipo ICT na biashara.
Mi mwenyewe nilipendelea sana hizi hapa
TTCL TANGA/DAR
CLOUDS FM
VODACOM DAR
pamoja na
TCRA
Naomba ushari labda kwamwenye uzoefu wapi pange nifaa zaidi na ukizingatia kuwa home ni Tanga m, Dar nina ndugu Buza na Mbagala.
Kama nipata na contact za hapo mahali itakuwa poa sana.
Natanguliza shukrani