Bora umeelezea ukweli kama hivi mkuu, ili watu wapate picha kamili ya Mambo jinsi yalivyo pande zile.
Nmesoma na nmekuelewa .Duuh hivi watu mnasomaga nyuzi kwa makini lakini?
Sahv hakuna cha degree wala nini, cadet miaka 3. Nadhani wanataka kuondoa huu utaratibu wa kuapisha kila mwaka. Hata South Africa wao utaratibu wao Cadet 3yrs.Oohh nimeshakuelewa hiyo miaka mitatu unayosemea wewe kuna mdau ameshaelezea kule juu kuwa ni kwa wale wanajeshi ambao wanataka nyota ila hawana degree yoyote kwahiyo wanapiga course miaka sawa na ya kusomea degree ila kwa mtu aliye na degree tayari basi TMA ni miezi tisa tu na si chini ya hapo
Nina rafiki yangu aliingia JKT 2016 akiwa na degree yake,amerudishwa mtaani mwezi wa 5 mwaka huu.Habari zenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nina mdogo wangu wa kike anahitaji kwenda jeshini ili aje kuwa mwanajeshi officer yaani mwenye nyota, na elimu yake ni bachelor degree.
Kwa anayefahamu, ninaomba kujua jeshini inahitajika elimu gani ili mtu aweze kuwa officer yaani kuwa na nyota? Pia ningependa kujua na mishahara ya kila cheo kama ikiwezekana.
Na je, course za officers huwa zinachukua muda gani kuhitimu hadi apewe hicho cheo? Yaani kuanzia JKT hadi TMA jumla ni muda gani na je kama anataka kuwa officer ni lazima apitie kwanza JKT au anaweza hata kwenda TMA moja kwa moja?
Kwa anayejua chochote kuhusiana na haya mambo msaada tafadhali.
Kama unataka kuingia jeshini we tumia Cheti cha form 6 ukitumia sijui cha degree ata ukifanikiwa kuingia, mbaka uje ustaafu utakuwa na cheo cha kanali, Jeshi linapenda likusomeshe lenyewe,ata mageneral unao waona awakuingia jeshin na degree waliingia wakiwa na elim ya form six.Nina rafiki yangu aliingia JKT 2016 akiwa na degree yake,amerudishwa mtaani mwezi wa 5 mwaka huu.
Kwahiyo na intake watakuwa wanachukua kila baada ya miaka mitatu? Maana mbona hata degree nyingi vyuoni ni miaka mitatu na bado kila mwaka watu wanagraduate? Labda waseme wasiwe wanachukua intake kila mwakaSahv hakuna cha degree wala nini, cadet miaka 3. Nadhani wanataka kuondoa huu utaratibu wa kuapisha kila mwaka. Hata South Africa wao utaratibu wao Cadet 3yrs.
hahaa dada si ukawe mwanajeshi tu ujue hayo yote coz najua ht k ni kampuni hawawez kutoa taarifa zote izo kw kila mtu tuHabari zenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nina mdogo wangu wa kike anahitaji kwenda jeshini ili aje kuwa mwanajeshi officer yaani mwenye nyota, na elimu yake ni bachelor degree.
Kwa anayefahamu, ninaomba kujua jeshini inahitajika elimu gani ili mtu aweze kuwa officer yaani kuwa na nyota? Pia ningependa kujua na mishahara ya kila cheo kama ikiwezekana.
Na je, course za officers huwa zinachukua muda gani kuhitimu hadi apewe hicho cheo? Yaani kuanzia JKT hadi TMA jumla ni muda gani na je kama anataka kuwa officer ni lazima apitie kwanza JKT au anaweza hata kwenda TMA moja kwa moja?
Kwa anayejua chochote kuhusiana na haya mambo msaada tafadhali.
Kama unataka kuingia jeshini we tumia Cheti cha form 6 ukitumia sijui cha degree ata ukifanikiwa kuingia, mbaka uje ustaafu utakuwa na cheo cha kanali, Jeshi linapenda likusomeshe lenyewe,ata mageneral unao waona awakuingia jeshin na degree waliingia wakiwa na elim ya form six.
Degree ya nini, sio kila degree inahitajika jeshini, madaktari na engineers priority ipo juu kutokana na shughuli mfano ujenzi, viwanda, hospitals nkNina rafiki yangu aliingia JKT 2016 akiwa na degree yake,amerudishwa mtaani mwezi wa 5 mwaka huu.
Kupata ajira kwenye majeshi yetu sasa hivi ni mbinde,kila mwaka wanarudishwa nyumbani magraduate wakujitolea JKT baada ya kukaa huko zaidi ya miaka miwili.Duuh
Fani ganiKupata ajira kwenye majeshi yetu sasa hivi ni mbinde,kila mwaka wanarudishwa nyumbani magraduate wakujitolea JKT baada ya kukaa huko zaidi ya miaka miwili.
Nina binamu yangu ni graduate batch yao wamerudishwa mwezi wa saba.
Itategemea na hali ikoje nakupa mfano hapa jkt maramba juzi waliorudi nyumbani kuja jamaa alikuwa ni EngineerDegree ya nini, sio kila degree inahitajika jeshini, madaktari na engineers priority ipo juu kutokana na shughuli mfano ujenzi, viwanda, hospitals nk
Ndio hii ipo hata asiwazeLakini si nimesikia kuwa jeshini unaweza kwenda kusomea kitu kingine tofauti kabisa na ulichosomea uraiani?
Yaani mfano uraiani ulisomea degree ya uhandisi ila jeshini ukaenda kusomea urubani si inawezekana tu au?
Lkn kanali sio mtu mdogo mkuu.Kama unataka kuingia jeshini we tumia Cheti cha form 6 ukitumia sijui cha degree ata ukifanikiwa kuingia, mbaka uje ustaafu utakuwa na cheo cha kanali, Jeshi linapenda likusomeshe lenyewe,ata mageneral unao waona awakuingia jeshin na degree waliingia wakiwa na elim ya form six.
Mkuu mbona huwi specific ili watu wajue, kuna baadhi ya field za engineering hazihitajiki jeshini, nijuavyo mimi fani ya civil, It,electrical na mechanical uhitaji wake upo hususan kwa ajili ya sera ya viwanda, ujenzi nk ambavyo jeshi limejikita, yy ni engineer wa nini, pili pamoja na proffesion wanaangalia pia na tabia na utayari wa muhusikaItategemea na hali ikoje nakupa mfano hapa jkt maramba juzi waliorudi nyumbani kuja jamaa alikuwa ni Engineer
Bachelor ndo usiseme, nina mwanang anamalizia mkata wake wa miaka miwili anarud zake home,, kila sku ni kumtukana magu,