Msaada kuhusu elimu na Vyeo Jeshini

Oohh sawa
Ndio inawezekana kabisa anafata tu utaratibu, unaotakiwa kama anachokwenda kusomea kipo ndani ya mpango wa jeshi anapewa na ruhusa kabisa nilikuwa na rafiki yangu mjeda tulisoma nae chuo safi kabisa no shida.
 
Shukrani Mkuu
 
Huku kwetu nmeona sanasana ambao wanaenda kwenye hizo OP ni kuanzia rank ya Major kushuka chini yaani Captain, Leutenant na kuendelea kushuka chini. Ila kuanzia Leutenant Colonel, Colonel na kuendelea kule mbele sijaonaga kama wanaenda OP
Oohh sawa
 
Anha Sawa
 
Usihangaike mpitishe tu Magereza ni njia fupi mno
 
kwa elimu aliyokuwa nayo akiingia tu atapewa ujenerali ila kila baada ya wiki cheo kitakuwa kinapungua mpaka kufikia ukuruta
 
Merinah ni ww bhana niambie umepangiwa kambi gani inaezekana tukakutana hko maana nipo kwemye mafunzo ya intake mpya
 
Dah ila kwenda jeshini wakati huu...mh anyway nenda ukapambane huwezi jua bahati yako.

Maana kuna msemo mmoja usemao,"jeshi halitabiriki."
 
Nipo kambi ya ufhfddggfjdegjg
Merinah ni ww bhana niambie umepangiwa kambi gani inaezekana tukakutana hko maana nipo kwemye mafunzo ya intake mpya
 
Sasa hivi Uafisa ni miaka mitatu.
 
Jamani umeuliza kambi ninayoenda mimi haujauliza kambi anayoenda huyo mdogo wangu sasa si ndo nimekujibu au?
Aya kila la kher sidhan kama kutaja kambi n ishu kubwa
 
Duuh hivi watu mnasomaga nyuzi kwa makini lakini?
Uwe Makin na muda wako kama upo nyumban huna shughuli ya kufanya nenda ila kama upo na goli lako linakuingizia sh kwa siku sikushauri uende nnaongea kwa experience yangu utakuja kukumbuka.
 
Bora umeelezea ukweli kama hivi mkuu, ili watu wapate picha kamili ya Mambo jinsi yalivyo pande zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…