Ilikuwa kabla ya Jiwe kuingia yani Jamaa JK aliwapa shavu snaaa ila jiwe lilipokuja ooho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089] Mambo sio kabisaaLabda kama taratibu zibadilishwe sasa... ila wote naowafahamu wameingia na Degree zao moja... wametoka na nyota moja moja... zikatoka kozi wameenda sasa wana nyota mbili mbili...
Cc: mahondaw
sasa kuna kitu inaitwa Heavy heart na kaza viungo siku ukikutana nazo utajuta kupafahamu jeshiniπ π π Nakumbuka cuz tulibebwa kilazima af siku ile watu hatukulala, ni kukabidhiana mabunduki na kulinda usiibiwe
Hata kwa yule ambaye uraiani amesomea degree ya uhandisi ila jeshini akataka akasomee urubani pia inawezekana?Duuh hii hatari ninachojua mimi Unaenda na basic education labda ya Form six ulisoma PCM then unaenda kusomeshwa uingeneer wa Mitambo ya vita hapo sawa lakini sio Form four eti uruke uende mpaka Eng duuh... Ndo maana wanafunzi wa vyuo na form six wanakuwa na chance kubwa zaidi maana kumuendeleza form four au la saba akasomee uingeneer ni balaaa.. hana msingi mzuri kuhusu hayo masomo so ni ishu sanaa
wanaulizia ila sio swali namba 1...siku zote mwanajeshi kweli hawazi mshahara anaulizia na kuwaza Kilichomfanya atamani kuwa mwanajeshi kisha ndio ktk story za kupoteza time Atauliza kuhusu mshahara.Kwahiyo wote ambao ni wanajeshi hawajawahi kuulizia mishahara jeshini?
wanaulizia ila sio swali namba 1...siku zote mwanajeshi kweli hawazi mshahara anaulizia na kuwaza Kilichomfanya atamani kuwa mwanajeshi kisha ndio ktk story za kupoteza time Atauliza kuhusu mshahara.
Ndicho kilichopo na nimekisema mwanzo kabisa sasa hivi degree sio inshu jeshini na zilikuwa zinapigwa vita kwa sababu hiyo.Labda kama taratibu zibadilishwe sasa... ila wote naowafahamu wameingia na Degree zao moja... wametoka na nyota moja moja... zikatoka kozi wameenda sasa wana nyota mbili mbili...
Cc: mahondaw
Siri ya kambi TMA 49 Long ndio watu ambao kamwe hawatalisahau heavy heart na acclimatization πππNdo yakoje mkuu? Kama hautojali unaweza kuyaelezea japo kwa kifupi tu?
Ndio inawezekana kabisa anafata tu utaratibu, unaotakiwa kama anachokwenda kusomea kipo ndani ya mpango wa jeshi anapewa na ruhusa kabisa nilikuwa na rafiki yangu mjeda tulisoma nae chuo safi kabisa no shida.Yeah hilo sawa ila nilikuwa nauliza kwa mfano mtu hajawahi kabisa kusomea uhandisi yaani tuseme uraiani kasomea unesi halafu akaenda jeshini je inawezekana akasomea uhandisi huko jeshini kitu ambacho hajawahi kusomea hapo kabla?
Unajua kazi za majeshi zilikuwa zinadharaulika sana zamani baada ya mambo kubana wengi wakakimbilia huko so promotion zilikuwa za kutosha hali hii iliamsha morale ya in service kujiendeleza pia!! mwisho wa siku degree zipo kibao jeshini, swali utawapeleka wote vyeo?? Bureaucracy in kataa hapo. Kwa mana hiyo lazima upepo ubadirike. Kwa hiyo mkuu wengi hawalijui hili wanaishia kukariri tu ukiwa na degree lazim uwe officer some thing wrong!Ndicho kilichopo na nimekisema mwanzo kabisa sasa hivi degree sio inshu jeshini na zilikuwa zinapigwa vita kwa sababu hiyo.
.
Sasa hivi ukiingia jeshini na degree yako sijui ya sheria sijui education utajiona huna tofauti na darasa la saba walioingia jeshini zamani utaanza na ukoplo au sajini
Thanks mkuu. Nimeikumbuka hiyo Nickname...Gen James Mattis, Mad dog The worrier monk
Heheheh.... akajaribu bahati yake. Ila lolote linaweza kutokea aisee...Ana Bachelor ya Human Resource Management
Kwanza atambue degree sio kigezo cha kupata nyota,na ni elimu ya kawaida sana Jeshini,wapo wengi mno.Anaweza akapita kote, kuanzia Jkt,Tpdf na akafika kozi ya uofisa akachemka.Namshauri kama ataingia jeshini aingie tu,asijiwekee atakuwa nani huko mbeleni,hayo yanakuja tu.Hata asipokuwa afisa bado atakuwa vzr tu sio lazima awe afisa.Akienda na akili hiyo tangu awali atachemka tu.Mpaka mi naondoka niliacha mambo yakiwa hivi..
Form 6 - nyota mbili (luteni) kuna mtu namjua kapata hicho cheo.
Bachelor degree - nyota tatu (captain).
Lazima apite Jkt miezi 6 ya kujitolea, baada ya hapo atapiga kozi ya TPDF yaani bakabaka kwa muda usiopungua miezi 4 hadi 6. Baada ya hapo ndio ataenda monduli kupiga kozi ya cadet officer kwa muda miezi 9. Baada ya mlolongo wote huo ndio ataweza kuwa afisa wa jeshi.
Kuhusu mshahara nakumbuka captain wetu aliyekua na nyota 3 alikua anachukua m3 kasoro hivi, kutokana na kauli mwenyewe. Na wenye nyota 2 inacheza kwenye m2 mbili kasoro point kidogo (kwa hapa am not sure).
Naongea from my experience ya miaka 5 nyuma, labda mambo yabadilike hivi sasa.
I hope nimesaidia.
Wa huku kwetu huwa hawaendi kabisa?
Unaanza uzalendo, ukuruta, service man/girl, bakabaka, then inakuja course ya maafisa anaenda. Ila mambou yamebadilika inaweza chukua muda kupata nyota. Kulingana na nlivyopita mujibu wa sheria, π π πElimu ya kidato cha sita ni tosha kwenda officers cadett course. Zamani ilikuwa waliomaliza form six ni lazima kwenda JKT mujibu wa sheria, na ukiwa kwenye mafunzo mnapewa nafasi ya kujiunga jeshi kwa anayetaka. Hivyo baada ya miezi sita ya ukuruta unarushwa Chuo cha maafisa Monduli, kule ukimaliza unaanza na nyota moja( luteni usu)
Sidhani. Ukifaulu tu utapata nyota moja. Nyota ya pili hutolewa kwa bidii kazini, nyota ya tatu kitabu major bidii, lt col kitabu, col bidii ndio wanavyofanya. Baada ya hapo wanaenda chuo cha viongozi ft IkomaUtaratibu sasa hivi umebadilia
MOJA: Askari anayetakiwa awe na nyota kwa UMRI ni chini ya miaka 23 kushuka chini,kwa experience yangu Uncle angu mda huu anapiga hiyo course ya uafsa.
MBILI: Hata kama utakuwa na Masters ni lazima uanzie chini yani nyota moja lakini kabla ya hapo utaratibu ulikuwa mwenye degree mfano ya MD atachukua nyota tatu.
TATU: course ya Uafsa ni miezi 9 na sio chini ya hapo.
Nb: Kuna uncle wangu mkubwa ana elimu ya form six lakini hakupata cheo chochote ila alivaa UKOPLO kwa Sababu ya fani yake CLINICAL OFFICER.
Jeshini usipokuwa na refa utapiga mihayo Sana utashangaa wa darasa la saba anavaa bakabaka ila mwenye Degree ya Engendering anarudi nyumbani.
Kuna suala la afya na utimamu wa mwili,uvumilivu nk.Utaratibu sasa hivi umebadilia
MOJA: Askari anayetakiwa awe na nyota kwa UMRI ni chini ya miaka 23 kushuka chini,kwa experience yangu Uncle angu mda huu anapiga hiyo course ya uafsa.
MBILI: Hata kama utakuwa na Masters ni lazima uanzie chini yani nyota moja lakini kabla ya hapo utaratibu ulikuwa mwenye degree mfano ya MD atachukua nyota tatu.
TATU: course ya Uafsa ni miezi 9 na sio chini ya hapo.
Nb: Kuna uncle wangu mkubwa ana elimu ya form six lakini hakupata cheo chochote ila alivaa UKOPLO kwa Sababu ya fani yake CLINICAL OFFICER.
Jeshini usipokuwa na refa utapiga mihayo Sana utashangaa wa darasa la saba anavaa bakabaka ila mwenye Degree ya Engendering anarudi nyumbani.