Sawa ila maelezo yako hayajitoshelezi ungejieleza kwa nini umeamua kuja kuiulizia hiyo kampuni?Wewe ulijuaje kama kuna kampuni kama hiyo?Ni nani alikueleza kuhusu hiyo kampuni na kwa nini usimgande huyo aliyekwambia kuhusu hiyo kampuni akuelezee kwa kina?
Kama wewe uliyeitaja hiyo kampuni hauna namba yao sisi tutaitoa wapi?
Sina lengo baya nakuuliza haya maswali kukuchangamsha ubongo ili siku nyingine uulize kiutuuzima.