Msaada kuhusu Elima Company Lmt

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Samahani ndugu zangu mwenye number za hii compony ya ELIMA COMPANY LMT naomba anipatie na naomba kujua uaminifu wao upo vipi?? Je siyo wajanja wajanja na sikia ofisi zao ipo kahama kama sijakosea asante sana.

Screenshot_20200822-225717.jpg
 
Samahani ndugu zangu mwenye number za hii compony ya ELIMA COMPANY LMT naomba anipatie na naomba kujua uaminifu wao upo vipi?? Je siyo wajanja wajanja na sikia ofisi zao ipo kahama kama sijakosea asante sana.

Sawa ila maelezo yako hayajitoshelezi ungejieleza kwa nini umeamua kuja kuiulizia hiyo kampuni?Wewe ulijuaje kama kuna kampuni kama hiyo?Ni nani alikueleza kuhusu hiyo kampuni na kwa nini usimgande huyo aliyekwambia kuhusu hiyo kampuni akuelezee kwa kina?

Kama wewe uliyeitaja hiyo kampuni hauna namba yao sisi tutaitoa wapi?
Sina lengo baya nakuuliza haya maswali kukuchangamsha ubongo ili siku nyingine uulize kiutuuzima.
 
Ipo hv nilikuwa na shida na laptop nilipewaga number zao wao wanaahiza laptop kutoka ebay na sehemu zingne unaweka order harafu unalipia baada ya kufika mzigo tulionge mazungmzu ya awali tu ila sasa nataka nifanye naye biashara ile number niliyopewa au tulikuwa tunaongea siku hz haipatikan samahan sijui nimekujibu maswali yako
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom