Msaada kuhusu EGM combination

chiddy boy

Member
Jan 2, 2017
86
25
Nilikuwa naomba kufahamishwa juu ya hii comb kwa MTU anaye somea,huwa ina option zipi ukifika chuoni,
Msaada wenu wakuu
 
Moja ya combination bora kabisa.

Unaweza kufanya
B.Art -Economics
B.Comm-Accounting, Finance,HRM, Materials Management

Hizo ni mimi nilizokuwa najua wakati Namaliza Tambaza 1999 nika ingia Udsm 2000 nikafanya B.Comm Accounting
Ahsante mkuu,vipi ila ajira zake hazisumbui
 
Bcom-procurement and supply
Bcom-finance
Bcom-accounting
Bcom-market
Bcom-hrm
Bcom-management science
Bcom-tourism and hospitality
Bcom-international business
B.a-economics
B.a-economics and statistics
Baed-ecocomics and geography,mathematics
B.sc-land evaluation and management
B.sc-building economics
 
Wengine wameshaonyesha, kama ulisoma physics olevel na kupata C, kozi zote za engineering za sua unaweza kusoma.
Mkuu matokeo yng ya o level ni
Math C
Geo C
Bios C
English B
Kiswahili C
Chemistry D
History D
Civics D
Phyz F
 
Bcom-procurement and supply
Bcom-finance
Bcom-accounting
Bcom-market
Bcom-hrm
Bcom-management science
Bcom-tourism and hospitality
Bcom-international business
B.a-economics
B.a-economics and statistics
Baed-ecocomics and geography,mathematics
B.sc-land evaluation and management
B.sc-building economics
Ahsante mkuu kwa kwa huo muongozo wa kunifahamisha
 
Bcom-procurement and supply
Bcom-finance
Bcom-accounting
Bcom-market
Bcom-hrm
Bcom-management science
Bcom-tourism and hospitality
Bcom-international business
B.a-economics
B.a-economics and statistics
Baed-ecocomics and geography,mathematics
B.sc-land evaluation and management
B.sc-building economics

ILA UWE UMESOMA PHY O LEVEL UMEPATA C
 
Kwahyo mkuu kuipata EGM mpaka upate C ya phyz na chemistry,au?
hujanielewa, kama unataka kusoma engineering za sua(Agriculture Engineering, water and irrigation engineering nk) kwa mtu wa EGM anaweza kusoma ila sharti matokeo yake ya O Level awe amepata angalau C kwenye Physics na Chemistry. kwa matokeo yako hauwezi kusoma hizo kozi za engineering za sua.
 
Apo nimekuelewa mkuu ahsante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom