Msaada Kuhusu ebay transactions?

Msaada Kuhusu ebay transactions?

Mpapatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
221
Reaction score
121
Za Sa hv wakuu nahitaji msaada wenu, kuhusu ebay kwa mtu aliye wahi pata mzigo via ebay.
 
Mkuu...ukinunua kitu Ebay ni uhakika..
Cha msingi hakikisha unakuwa na VISA au MASTER CARD.Utafungua account ya Ebay na nashauri kwa usalama zaidi ujiunge na Paypal kwa ajili ya secured transactions.]Mie nina mwaka wa tatu natumia Ebay na vitu vinafika kwenye sanduku la posta la kijijini kwetu salama salimini.
 
Mkuu, mbona naskia ktk hz posta zetu wizi umezid? V2 kama laptops na simu kuna wakati huwa wanajichukulia. Mi nataman sana kununua v2 ebay lakin ttzo lnakuja ktk ku ship huo mzgo. Na bdo cjajua gharama za kuship mzgo kuja tanzania kwa ku2mia dhl au fedex
 
Dah... hili tatizo wengi huwa wanalilalamikia! Sijui kama Shirika la Posta lina taarifa hizi???
 
Ukinunua kitu wanakupa tracking number...na kama mzigo hautafika yule aliokuuzia atakutumia tena maana wanajali sana feedback reputation.
nakuambia nimekuwa Ebay kwa muda na nimenunua simu,laptops nk na vyote vimefika.
usisikilize maneno ya mtaani.
 
Ni kweli kuhusu hlo. Watu wengi wanalalamika kuhusu hyo inshu. Sasa cjajua iko vp hpo. Ila wako wanaosema kuna wakati mzgo unafka na kuna wakat huwa unapotea. Ina maana posta wanachakachua. Labda wewe huwa ni v2 gan hasa huwa unaagza na kupokelea posta?
 
Ukinunua kitu wanakupa tracking number...na kama mzigo hautafika yule aliokuuzia atakutumia tena maana wanajali sana feedback reputation.
nakuambia nimekuwa Ebay kwa muda na nimenunua simu,laptops nk na vyote vimefika.
usisikilize maneno ya mtaani.
Hapo kwenye bold siyo kweli mkuu as long as US postal services imepokea mzigo, muuzaji kanawa mikono. Ndo maana unashauriwa kulipia bima ya mzigo. Mwenyewe nina uzoefu wa miaka kibao na Ebay + posta ya Tanzania. Ninachofanya nikipeleka mzigo na track mpaka ukifika custom, natuma jamaa wakauchukue bila kusubiri posta wakutumie card ya kuchukulia mzigo.
 
Mkuu, mbona naskia ktk hz posta zetu wizi umezid? V2 kama laptops na simu kuna wakati huwa wanajichukulia. Mi nataman sana kununua v2 ebay lakin ttzo lnakuja ktk ku ship huo mzgo. Na bdo cjajua gharama za kuship mzgo kuja tanzania kwa ku2mia dhl au fedex
FedEx/DHL ni ghari sana, mwezi uliopita nilituma Laptop ya uzito karibu 5kg, walinilipisha karibia $100.00 hiyo ni USPS ingekuwa FedEx/DHL ingekuwa zaidi ya $200
 
Posta ya Tz ni wezi sana. Juzi tu rafiki yangu katuma vitu toka US wakavidokoa. Na hii tabia inajirudia rudia na hata wakipigiwa simu nakulalamikiwa wanajibu kwa jeuri! Uwajibikaji na uwajibishwaji bado haupo katika sekta nyingi za nchi yetu! Tunahitaji mabadiliko!

Mkuu, mbona naskia ktk hz posta zetu wizi umezid? V2 kama laptops na simu kuna wakati huwa wanajichukulia. Mi nataman sana kununua v2 ebay lakin ttzo lnakuja ktk ku ship huo mzgo. Na bdo cjajua gharama za kuship mzgo kuja tanzania kwa ku2mia dhl au fedex
 
Nimetuma mara nyingi vitu, sijawahi ibiwa hata kimoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom