Strong ladg
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 407
- 1,056
Wakuu habari,niende kwenye mada. Ambae ana uzoefu na hawa DusuPay naomba anishirikishe tafadhali. Je wako vizuri? Pesa zinafika kwa wakati?
Na pia je wanaruhusu utengeneze Payment links kama hauna document za biashara?
Mbarikiwe.
Na pia je wanaruhusu utengeneze Payment links kama hauna document za biashara?
Mbarikiwe.