Msaada kuhusu diploma ya ualim

Msaada kuhusu diploma ya ualim

jaman diploma ya primary ipo,~vyuo vile vilivyokuwa vinatoa certificate ,saiv ndo vnatoa dploma ya msingi,, na hakuna certfcate, ila ndo walewale,,, mf tandala,tarime,mrutungulu, nk,, ila kwa we wa 4m six ata kama una four, si uende diploma ya secondary au za afya! au umesoma art?
Hakuna chuo kinacho toa dip now
 
Walikuwepo hapa BUTIMBA TEACHER TRAINING COLLEGE wamehamishwa wote kwenda Bunda TTC Tarime TTC&Murutunguru TTC now Chuo kipo katika ukarabati wa hali ya juu kupokea vijana toka UDOM wao pia wanakuja kusoma Diploma in primary education

Sio kweli dip haipo evidence
1475708624607.png
 
Back
Top Bottom