Samahani naomba kuuliza kidogo kuhusu New Technology ya digital. Eti na wale wenye simu zenye TV watatakiwa kununua king'amuzi? Kuuliza sio ujinga jamani.

Nyie hamjamuelewa kuna simu ambazo unaweza kuangalia hizi local chanel kwa kutumia antena yake hasa za kichina. Hapo kama ulikuwa una simu kama hiyo wakizima mitambo ya analojia huwezi kuitumia tena.