mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 3,017
- 9,384
Wadau kwema,
natumai mmeanza siku vyema. Moja kwa moja niende kwenye topic.Kuna ndugu yangu mmoja hapa ana ndoto za kufanya kazi kwenye sekta ya usafiri wa anga . Ili kuanzia kufanya kazi kwenye hizi sekta anatamani aanze na kusomea Hii course ya flight operation officer (flight dispatcher). Hivyo nimelileta mbele yenu.
Ili kuweza kujua gharama za kusomea hii course, changamoto zake , soko lake la ajira kwa mashirika ya ndege kwa hapa Tanzania pamoja na pamoja na maswala Mazima ya salary scale yake.
Naomba kuwasilisha.