Msaada kuhusu course ya flight dispatcher

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,988
9,325
Wadau kwema,

natumai mmeanza siku vyema. Moja kwa moja niende kwenye topic.Kuna ndugu yangu mmoja hapa ana ndoto za kufanya kazi kwenye sekta ya usafiri wa anga . Ili kuanzia kufanya kazi kwenye hizi sekta anatamani aanze na kusomea Hii course ya flight operation officer (flight dispatcher). Hivyo nimelileta mbele yenu.

Ili kuweza kujua gharama za kusomea hii course, changamoto zake , soko lake la ajira kwa mashirika ya ndege kwa hapa Tanzania pamoja na pamoja na maswala Mazima ya salary scale yake.

Naomba kuwasilisha.
 
Mnataka kujua mshahara hata kabla hamjanza masomo yenyewe?!
Nendeni NIT mabibo mtajua gharama.
 
Suala la ajira ni bahati na sibu lengo kuu la kusoma sio kuajiriwa ni kuondoa ujinga kama anaanza kuuliza salary scale kwa sasa ni vizuri akamuulize mwajiri wake wa baadae
 
Suala la ajira ni bahati na sibu lengo kuu la kusoma sio kuajiriwa ni kuondoa ujinga kama anaanza kuuliza salary scale kwa sasa ni vizuri akamuulize mwajiri wake wa baadae
Tuachane na hiyo salary scale naomba kama una ufahamu wowote kuhusu hili course uweze kunisaidia. Nitashukuru sana .🙏🙏
 
Back
Top Bottom