Msaada kuhusu Bsc.Biomolecular and laboratory science

Msaada kuhusu Bsc.Biomolecular and laboratory science

sio ajabu

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
217
Reaction score
138
Habari wakuu

Napenda ulizia kwa yeyote mwenye kuifahamu/aliyesoma/ anayesoma/ hii course ya BSC.BIOMOLECULAR AND LABORATORY SCIENCE inayotolewa chuo kikuu SUA kuhusu msuli wake..,ajira zake na mengineyo for additional details for help in need anisaidie.


Natanguliza shukrani.
 
Subiri mkuu watakuja tuu,


Wahusika wakuu ,


Ila kozi nzuri inatoa watu vizuri tuu,


Na ina lipa vizuri tuu ,


So wataalamu watakuja tuu,


So wewe vuta subira tuu.
 
Ta
Subiri mkuu watakuja tuu,


Wahusika wakuu ,


Ila kozi nzuri inatoa watu vizuri tuu,


Na ina lipa vizuri tuu ,


So wataalamu watakuja tuu,


So wewe vuta subira tuu.
thank you
 
Back
Top Bottom