Wakuu,
Nimetengeneza blog ila tatizo kila nikiiangalia naiona kama ipo local, Naomba maoni na mawazo yenu nifanyaje ili blog iweze kuwa na visitors wengi per day na iwe na muonekano mzuri. Blog yenyewe ni hii hapa http://www.bongoland.webs.com maoni na ushauri wako ndio utakaokuza blog yangu. asanteni.
Niaamini unamaanisha hupati free traffic kutoka search engine
Nimefanya reverse DNS lookup ya hiyo top level domain na kuona inamilikiwa na kampuni kubwa tuu na ilianzishwa tarehe 04 ya machi mwaka 1995 ikimaanisha kuwa hii domain webs.com ni 'very old' kwahiyo indexing siyo tatizo.

Pia nimeangalia hiyo subdomain yako bongoland.webs.com kwenye google nakukuta ipo indexed lakini only two pages.
Sasa hii inamaanisha nini?
Ni kwamba tatizo siyo kwamba domain ni mpya (yaani haina relationship na google) bali tatizo ni links. Kuwa na relationship na google ni kuwa google inaamini kwamba website yako ina authority online. Google wanakitu kinaitwa trustrank yaani wakikuamini kwamba unatoa taarifa sahihi (relevence) watataka kuijua website yako zaidi (spidering your pages more) na baadae kukuorodhesha kwenye indexing yao. Na hapo ndipo watu wakitafuta "Usher, Rihanna waacha maswali" kwenye google lile bandiko lako litatokea na wao watabonyeza na kujakwenye blog yako.
Sasa kama mtazamaji alivyokuambia hapo juu ni lazima ujiulize dhumuni lako ni kulenga akinanani (target audience)? kwasababu hata kama utatumia paid traffic (mf google adwords) kama shabaha yako haieleweki basi utakuwa unacheza makidamakida.
Ukienda u-turn.co.tz utaona wao wanalengaa mambo ya ulimbwende na mahusiano na wanaume weupe.Sasa hiyo ni shabaha ya uhakika (well defined target) na mlengwa akiona tuu hiyo blog anasema, 'this is it!"
Kwahiyo nakushauri uangalie upya nini unataka kufanya kwakurudia kusoma bandiko la mtazamaji. Pia kama unaweza andikisha domain yako mwenyewe ni $2 tuu kwa mwaka na ni kama $30 kwa mwaka kwa shared hosting. kam hiyo iatakushinda naweza kukupa free hosting kwenye reseller account yangu.
Ukisha maliza hayo nitakusaidia kutengeneza links, unajua, wakati Larry Page na Sergei Brin (google guys) wanafanya paper yao ya backrub pale Stanford university walitengeneza algorithm ya ku-analise links (the more the links the the page has higher the ranking), hayo mambo yalibadilika baada ya akina sisi kuabuse google system. Hata hivyo , japokuwa mambo yamebadilika sana lakini bado kama una-links nyingi kwenye page yako basi google wata kurank higher katika search engine result pages (serp).
Sasa utapataje link?
Unaweza kuomba mtu mwenye blog (yenye walengwa kwama wako) kulink kwako mfano unaweza kumuomba kaka michuzi, dada chemi au dada mage n.k. Tatizo la njia hii ni kwamba inachukua muda mferu sana na hakuna uhakika wa kupata 'linkback'.
Sasa utafanyaje?
Welcome to the world of blackhat seo my friend
Unalazimisha kutengeneza links kwa kutumia software. Kuna platform zinazo ruhusu kuweka links kwenye blogs zake, mfano wordpress blogs. Nimeona katika blog yako kunawatu wanne wame-comment kwenye hii post:
Usher Raymond Wa Bongo, Is this man lookin like Usher?? Toa Maoni yako!!
Sasa kama hiyo blog ingekuwa ni wordpress na hao jamaa wange kuwa 'badass' like me ((LOL)) wangeweka 'anchor keyword' ya website badala ya majina jao. Na hapo watakuwa wame-optimise page with an anchored link. Ieleweke hii inafanyika kwa kutumia software/script na wala siyo eti mtu nakaa na kufanya hivyo manually.
Nitaishia hapa kwa leo ili usijeogopa bure.
Kwanza nikuulize
- objective(s) au madhumuni na nia hasa ya kuanzisha blog hiii ni nini?
- Vistors wako unategemea wawe watu wa aina gani na hasa wa wapi?( Wanafunzi, Wafanyakazi, Watanzania wa nje ya nchi au hailengi undi lolote specific?)
- Je habari na mambo unazoweka zinaendana na jibu na no 2?
- Articles zako source yake ni wewe mwenyewe au unachukua shemu nyingine na kutafsiri
BTN .
hongera hata usipopata hao vistor umefanya jambo ila kama ulikuwa na un realstic objectives utajiona umeshindwa. Mfanomm nina blogwe http://www.teknohama.x10.mx/ lakini objective yangu kuu ni ni kujifunza kwa vitendo mambo ya web development.
Sasa mfano jiulize swali hili. Unapewa dk 5 na kila radio station na TV kuwaambia wasikilizaji kuhuus blog yako. Utawaambia nini ili wahasike kuitembelea..
So Dont be taken by muonekano tu . So far am soory to criticise sioni content inayoweza kukupatia hao vistor unaotaka. Hata ukibadilisha muonekano uwe super bado content itakulet down
Niaamini unamaanisha hupati free traffic kutoka search engine
Nimefanya reverse DNS lookup ya hiyo top level domain na kuona inamilikiwa na kampuni kubwa tuu na ilianzishwa tarehe 04 ya machi mwaka 1995 ikimaanisha kuwa hii domain webs.com ni 'very old' kwahiyo indexing siyo tatizo.
Pia nimeangalia hiyo subdomain yako bongoland.webs.com kwenye google nakukuta ipo indexed lakini only two pages.
Sasa hii inamaanisha nini?
Ni kwamba tatizo siyo kwamba domain ni mpya (yaani haina relationship na google) bali tatizo ni links. Kuwa na relationship na google ni kuwa google inaamini kwamba website yako ina authority online. Google wanakitu kinaitwa trustrank yaani wakikuamini kwamba unatoa taarifa sahihi (relevence) watataka kuijua website yako zaidi (spidering your pages more) na baadae kukuorodhesha kwenye indexing yao. Na hapo ndipo watu wakitafuta "Usher, Rihanna waacha maswali" kwenye google lile bandiko lako litatokea na wao watabonyeza na kujakwenye blog yako.
Sasa kama mtazamaji alivyokuambia hapo juu ni lazima ujiulize dhumuni lako ni kulenga akinanani (target audience)? kwasababu hata kama utatumia paid traffic (mf google adwords) kama shabaha yako haieleweki basi utakuwa unacheza makidamakida.
Ukienda u-turn.co.tz utaona wao wanalengaa mambo ya ulimbwende na mahusiano na wanaume weupe.Sasa hiyo ni shabaha ya uhakika (well defined target) na mlengwa akiona tuu hiyo blog anasema, 'this is it!"
Kwahiyo nakushauri uangalie upya nini unataka kufanya kwakurudia kusoma bandiko la mtazamaji. Pia kama unaweza andikisha domain yako mwenyewe ni $2 tuu kwa mwaka na ni kama $30 kwa mwaka kwa shared hosting. kam hiyo iatakushinda naweza kukupa free hosting kwenye reseller account yangu.
Ukisha maliza hayo nitakusaidia kutengeneza links, unajua, wakati Larry Page na Sergei Brin (google guys) wanafanya paper yao ya backrub pale Stanford university walitengeneza algorithm ya ku-analise links (the more the links the the page has higher the ranking), hayo mambo yalibadilika baada ya akina sisi kuabuse google system. Hata hivyo , japokuwa mambo yamebadilika sana lakini bado kama una-links nyingi kwenye page yako basi google wata kurank higher katika search engine result pages (serp).
Sasa utapataje link?
Unaweza kuomba mtu mwenye blog (yenye walengwa kwama wako) kulink kwako mfano unaweza kumuomba kaka michuzi, dada chemi au dada mage n.k. Tatizo la njia hii ni kwamba inachukua muda mferu sana na hakuna uhakika wa kupata 'linkback'.
Sasa utafanyaje?
Welcome to the world of blackhat seo my friend
Unalazimisha kutengeneza links kwa kutumia software. Kuna platform zinazo ruhusu kuweka links kwenye blogs zake, mfano wordpress blogs. Nimeona katika blog yako kunawatu wanne wame-comment kwenye hii post:
Usher Raymond Wa Bongo, Is this man lookin like Usher?? Toa Maoni yako!!
Sasa kama hiyo blog ingekuwa ni wordpress na hao jamaa wange kuwa 'badass' like me ((LOL)) wangeweka 'anchor keyword' ya website badala ya majina jao. Na hapo watakuwa wame-optimise page with an anchored link. Ieleweke hii inafanyika kwa kutumia software/script na wala siyo eti mtu nakaa na kufanya hivyo manually.
Nitaishia hapa kwa leo ili usijeogopa bure.
Niaamini unamaanisha hupati free traffic kutoka search engine
Nimefanya reverse DNS lookup ya hiyo top level domain na kuona inamilikiwa na kampuni kubwa tuu na ilianzishwa tarehe 04 ya machi mwaka 1995 ikimaanisha kuwa hii domain webs.com ni 'very old' kwahiyo indexing siyo tatizo.
Pia nimeangalia hiyo subdomain yako bongoland.webs.com kwenye google nakukuta ipo indexed lakini only two pages.
Sasa hii inamaanisha nini?
Ni kwamba tatizo siyo kwamba domain ni mpya (yaani haina relationship na google) bali tatizo ni links. Kuwa na relationship na google ni kuwa google inaamini kwamba website yako ina authority online. Google wanakitu kinaitwa trustrank yaani wakikuamini kwamba unatoa taarifa sahihi (relevence) watataka kuijua website yako zaidi (spidering your pages more) na baadae kukuorodhesha kwenye indexing yao. Na hapo ndipo watu wakitafuta "Usher, Rihanna waacha maswali" kwenye google lile bandiko lako litatokea na wao watabonyeza na kujakwenye blog yako.
Sasa kama mtazamaji alivyokuambia hapo juu ni lazima ujiulize dhumuni lako ni kulenga akinanani (target audience)? kwasababu hata kama utatumia paid traffic (mf google adwords) kama shabaha yako haieleweki basi utakuwa unacheza makidamakida.
Ukienda u-turn.co.tz utaona wao wanalengaa mambo ya ulimbwende na mahusiano na wanaume weupe.Sasa hiyo ni shabaha ya uhakika (well defined target) na mlengwa akiona tuu hiyo blog anasema, 'this is it!"
Kwahiyo nakushauri uangalie upya nini unataka kufanya kwakurudia kusoma bandiko la mtazamaji. Pia kama unaweza andikisha domain yako mwenyewe ni $2 tuu kwa mwaka na ni kama $30 kwa mwaka kwa shared hosting. kam hiyo iatakushinda naweza kukupa free hosting kwenye reseller account yangu.
Ukisha maliza hayo nitakusaidia kutengeneza links, unajua, wakati Larry Page na Sergei Brin (google guys) wanafanya paper yao ya backrub pale Stanford university walitengeneza algorithm ya ku-analise links (the more the links the the page has higher the ranking), hayo mambo yalibadilika baada ya akina sisi kuabuse google system. Hata hivyo , japokuwa mambo yamebadilika sana lakini bado kama una-links nyingi kwenye page yako basi google wata kurank higher katika search engine result pages (serp).
Sasa utapataje link?
Unaweza kuomba mtu mwenye blog (yenye walengwa kwama wako) kulink kwako mfano unaweza kumuomba kaka michuzi, dada chemi au dada mage n.k. Tatizo la njia hii ni kwamba inachukua muda mferu sana na hakuna uhakika wa kupata 'linkback'.
Sasa utafanyaje?
Welcome to the world of blackhat seo my friend
Unalazimisha kutengeneza links kwa kutumia software. Kuna platform zinazo ruhusu kuweka links kwenye blogs zake, mfano wordpress blogs. Nimeona katika blog yako kunawatu wanne wame-comment kwenye hii post:
Usher Raymond Wa Bongo, Is this man lookin like Usher?? Toa Maoni yako!!
Sasa kama hiyo blog ingekuwa ni wordpress na hao jamaa wange kuwa 'badass' like me ((LOL)) wangeweka 'anchor keyword' ya website badala ya majina jao. Na hapo watakuwa wame-optimise page with an anchored link. Ieleweke hii inafanyika kwa kutumia software/script na wala siyo eti mtu nakaa na kufanya hivyo manually.
Nitaishia hapa kwa leo ili usijeogopa bure.
kaka umeongea kitu cha maana sana.Kama vp kijana angalia kazi ya issam hapa kwenye linkjamaa yupo juu mbayawww.gshayo.blogspot.comwww.rafikibuzz.comkaribuKaka naona umetoa maelezo mareeefuuu ambayo hayana msingi kabisa, huyu kijana ndio kwanza anaanza kwenye mambo ya website na ndio maana akachagua tutengeneza blog ili aanzie, wewe unamwambia mambo ya hosting na domain, kama hana uwezo jeee??? mbn issa michuzi anatumia freee blogs na anapata hela kibaaaooo na hajanunua domain wala hosting, kaka acha kumtakisha jamaa tamaa, mtu naweza kuanza na blog tuu na akatoka cha muhimu ni kuweka hot topics na kuitangaza. na si lazima blog iwepo google ndio watu waingie. unaweza ukaitangaza kwenye machatroom tuu kila siku na watu wakaijua na kuifahamu. naona umetoa mawaidhaaa mengiiiii hebu na wewe tuonyeshe web ambayo umetengeneza ambayo unaimiliki kwanza tuone na si kuongea tuu kama kununu hizo domain na hosting ni rahiiiiiiisi
Very useful topic.