Jamani tusiwe wabinafsi.duh haya kakaaa
Soma post 6#kwa lip
Sasa kama mchina kaweza kutengeneza bidhaa fake kama original, box ndilo litamshinda kutengeneza kuwa jeupe? Mi nachoelewa Lg za zaman ni box la khaki, 2018 ndyo walianza toa box nyeupeZipo poa, ukinunua zingatia box lililo fungashia bidhaa liwe jeupe ndo huwaga vitu OG. Yale ya khaki huwaga ni kanjanja!