Msaada kuhusu bei ya bajaji

lushalila

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
282
107
Wana jf naimba mnisaidie kuhusu bajaji ,nataka kufahamu bei zake, upatikanaji wake ,aina zake ,na hata Tabia zake.
Na yangu ni kutata kuingia kwenye biashara hiyo. So kama kina mjuzi naomba anisaidie. Bajaji zile za abilia.
 
Mpya million 7.2 with details zote

Karibu ununue hii yangu naiuza 3.9m
DSM
c53ae3e859ae400bfe4bc5c1d71fb975.jpg

0762612213
 
Milioni 7.2 mpya?!
Bei ya mwaka gani hii? Jana nimetoka kuziangalia dukani mpya zinaanzia 6-6.8 mil.
ubishi mwingine sijui upoje sasa 6.8 na 7.2 utofauti wake ni nini laki nne? na hapo nimesema with details na umezunguka maduka yote? bora ungeniambia million 5 nione uongo wako WABONGO BWANA
 
ubishi mwingine sijui upoje sasa 6.8 na 7.2 utofauti wake ni nini laki nne? na hapo nimesema with details na umezunguka maduka yote? bora ungeniambia million 5 nione uongo wako WABONGO BWANA
Laki nne ndogo eeeeh?! Mshahara wa mtumishi wa umma kabisa unasema ni nn?!
Kweli mwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 
Bajaji ni milioni 7.2.usiwe Mbishi.labda hiyo 6.8 bila usajili.mimi pia ni mmiliki.usipende kupata information kwa watu wanaoongea bila kuzijua.utalia.nunua tvs.kinyume na apo utafungua uzi mwingine wa ushauri.
 
Ujue maisha ya kuiga flan kafanya nn huwa tunafeli sana...
Iv baada ya mtu ukae chin na usuke business plan ya hyo pesa et unafikilia ununue bajaj....
Kila la kheri ila bajaji zimejaa sana sio dili tena kama pale mwanzo....
 
Wana jf naimba mnisaidie kuhusu bajaji ,nataka kufahamu bei zake, upatikanaji wake ,aina zake ,na hata Tabia zake.
Na yangu ni kutata kuingia kwenye biashara hiyo. So kama kina mjuzi naomba anisaidie. Bajaji zile za abilia.
Sio kila tuktuk ya tairi tatu ni bajaji, anyway unataka used au mpyaa?
 
Bajaji ni milioni 7.2.usiwe Mbishi.labda hiyo 6.8 bila usajili.mimi pia ni mmiliki.usipende kupata information kwa watu wanaoongea bila kuzijua.utalia.nunua tvs.kinyume na apo utafungua uzi mwingine wa ushauri.
Mwambie mkuu
Huwa nashangaa mtu hataki kujifunza anataka mbishane jf imevamiwa na watoto
 
Guta ( pikipiki za matairi matatu) mpya bei gani wadau, na aina ipi inadumu zaidi?

Amini usiamini, ukihitimu shule ndio utaanza masomo.
 
Back
Top Bottom