Msaada kuhusu AUTOCOM Japan

Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
5,537
2,000
Wakuu salam zenu.

Kwanza niwashukuru kwa kuniongoza na kunipa elimu kwenye kuimport gari nilifanikiwa kupitia enhance auto. Good news na expect mwezi huu itakua ishawasili kwa bandari.

Sasa naomba mwongozo kwa aliyewai kuimport na AUTOCOM kuna gari nataka agiza nyingine. Wakati napekua pekua hawa jamaa nao wana gari kali sana piaa afu ni cheap, nilicreate account fasta kuna agent wao hukohuko japan akanichek kama nataka info yyte kuhusu gari nimcheki.

Kama kuna mwana Jf alishawai agiza gari na hawa jamaa Autocom atupe mrejesho kuhusu gari zao na huduma zao zikoje.. kuuliza sio ujinga wakuu. Karibuni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom