KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,309
Uliikutaga bikra yake?natanguliza shukran wadau.
Kuna namba naiona kwenye simu ya shemeji/wifi yenu mara kwa mara. Haijaseviwa ila inaonekana imepiga na mara moja moja imepigiwa.
So kuna app gani naweza ku'install kwenye simu ya wifi/shemeji yenu ili niweze kujua maongezi yanayoendelea? Shemeji/wifi yenu sio mwerevu Sana kupekua simu. Anachojua ni kupiga, kupokea, kuchat whatsapp tu.
Comments ziwe fupi fupi tafadhali
Na kama unajiamini kwanini usiipige hiyo namba kwa simu yake usikie kama ataanza kuipokea kwa jina la sweet heart!
Au kwanini usipige iyo namba kwa simu yako?