Msaada kuhusu adsense approve code

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Wakuu habari,

Naomba kujua nimesajili na kuunganisha account yangu ya adsense na viblog vyangu viwili lakini hadi sasa wananiamba wanareview sijui nini, nimeseti kila kitu hadi ads place nimeweka disclaimer na vyote vinavyotakiwa.

Mwenye kujua naomba aniambie nini nifanye kingine ili viblog vyangu viwe acceptable na adsense?
 
Wewe endelea kupost post za kingereza na pia site yako ifanye iwe responsive na ishibe contents za kutosha.
 
Hivi mpaka blog ipokee matangazo iwe na sifa gani?? Mimi naijua 1 nayo inasema "habari zako ziwe katika lugha inayo tambulika" Sasa vipi kuhusu muda na views kama YouTube wanavyofanya?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom