ukifanikiwa kununua tiles,hakikisha gari lilobeba mzigo wako unalifuata nyuma,au upande ndani ya gari,wanachange cota balaa, within few minutes walishashusha mzigo na kupakia feki wenye rangi zilezile with poor quality.Epuka kuchaguliwa aina ya tiles na kishoka au mhudumu anaye jifanya kukujali sana mteja kuliko mwenye mali, utasikia hizi ni nzuri zinadumu kuliko hizo, shutka mkuu.
Kuna janjajanja nyingi ,kama nyumba ni kubwa na unanunua mzigo mwingi kwa pamoja ni bora uende kiwandani au kwa mwenye duka unayemwamini.