Asante kwa iloPSPA.......Bachelor of Arts in political science and Public administration (sayansi ya siasa na utawala)
Hizo nyingine ngoja waje wataalamu
ila kama unakwenda chuo usihangaike na kuuliza hizi courses "Turn your passion into profession" just marry what you like not others do like. Angalia upendacho, then ulizia course gani ni concerned