Mkuu ulifikaje USA?
Je uliingia kama mkimbizi badae ukapata green card?
Kwahiyo unataka kuja tanzania?
Kwanini unataka kuhamia hizo nchi mbili?
Ukijibu maswali haya bila shaka msaada utapata.
Unataka kumkimbia Trump? Atakuwa ameanza kubana, Canada now n wagumu ,tafuta wenzio waliozamia Australia watakupa namna ya kufanya, polee, ikishindikana karibu tena Bongo, maisha tunayakimbiza japo kibishiPoleni na majukumu wanajamii,mimi ni mtanzania ninaishi marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa! Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo Na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,
ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhama kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)
Huu Udakitari wako wa Mitishamba nini?Mkuu ulifikaje USA?
Je uliingia kama mkimbizi badae ukapata green card?
Kwahiyo unataka kuja tanzania?
Kwanini unataka kuhamia hizo nchi mbili?
Ukijibu maswali haya bila shaka msaada utapata.
Mkuu bila shaka nimeuliza maswali hayo ili nijue namna ya kumsaidia mdau pia nimejibu vyema kwenye post yang namba 5.Huu Udakitari wako wa Mitishamba nini?
Yote uliyoyauliza yapo kwenye Uzi mkuu.
Au wewe Ndie Dakitari Mfawidhi wa Kolomije?
Wanapokunyima green card wanakwambia ni kwasababu gani wamekunyima?Poleni na majukumu wanajamii,mimi ni mtanzania ninaishi marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa! Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo Na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,
ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhama kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)
Naunga mkono usirudi mkuu, Get Rich Or Die TryNilikuja kama mwanafunzi,sijawahi kupata green card sababu wamedenai kesi yangu mara tatu,nilioa ili kupata makaratasi miaka sita iliyopita ila sijafanikiwa na pia sijamtalaka mwanamke niliemuoa! Hapana sitajafikiria kurudi Tanzania Kwa sasa ila natafuta njia ambayo itanisaidia kupata makaratasi Australia au Canada!
Asante
Je huyo mwanamke umezaa nae watoto?Poleni na majukumu wanajamii,mimi ni mtanzania ninaishi marekani Kwa Muda wa miaka 10 sasa! Nimejaribu makaratasi Kwa njia ya kuoa wamenikatalia Mara tatu (sikubadilisha mwanamke) sasa nimeona naendelea kupata shida ya makaratasi lengo Na nia ya kutafuta haya makaratasi ni niweze kwenda kuwasalimia wazazi nyumbani,
ninaomba Kwa yoyote anaejua njia ya kuhama kuhamia Canada au Australia anisaidie (nimesoma na nina degree ya nursing)
kwa mfano mtanzania (mwanaume) ukienda nje kusoma ukimaliza kusoma lazima kupata makaratasi lazima utumie njia kuoa hili ayapate??Canada pako taiti sana pia Australia nako panazidi kuwa pafinye,
Chakufanya nenda Australia maana ndo kwenye unafuu na nirahisi kutoboa maana maisha ya kule ni cheap ukilinganisha na maisha ya canada.
Tafuta sponsorship za kule ukifika kule komaa tena ununue mwanamke umlipe mfunge ndoa upate makaratasi kule kidogo hawabani sana kwenye swala la ndoa.
Au upate host kutoka kule ukifika kule unafanya mchakato wa kubaki kule pia kule nursing inalipa sana japo itakubidi uingie tena darasani ndiyo upate work permit ukiwa Australia.
Kila lakher mkuu pambana nakutakia mafanikio mema.
Unajua nchi za wenzetu zipo strict kwenye masuala ya uhamiaji sio kama huku kwetu, mfano Marekani kama ulienda kwa Student visa umapomaliza course yako na visa inapokua imekwisha au hata kama haijesha, unapotaka kutafuta kazi unatakiwa urudi kwenu upya kuomba visa ingine sasa kwa ajili ya shuhuli ingine inayokupeleka, kwa kiswahili chepesi ni kwamba kila visa na matumizi yake, nadhani baadhi yet tulisikia issue iliyomkuta ndugu yetu msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz. vinginevyo immigration wakikudaka breki ya kwanza kipawa.kwa mfano mtanzania (mwanaume) ukienda nje kusoma ukimaliza kusoma lazima kupata makaratasi lazima utumie njia kuoa hili ayapate??
Je ukimaliza kusoma ukataka kufanya kazi kwenye nchi hiyo hiyo ulipo soma na ukapata work permit si unaweza kufanya kazi bila kuoa??
Plz naomba jibu.
Inawezekana kabisaa Tatizo watu kutoka Africa wanashindwa kutofautisha kati ya Citizenship na Permanent resident kwa kujua Citizenship ni bora zaidi ya PR kwa mgeni wanashindwa kuvumilia miaka 5 -10 kupata Citizenship wanataka kupata Citizenship kwa muda mfupo ndipo wanajikuta wameoa rejected material kama Wazee,mabonge ,wajane na kujikuta wako under pressure kwani kile wanachokipata wanajikuta mke ndio mpanga matumizi na wanajikuta kwenye pingu za child support nusu ya kipato chote kinakwenda kwa mkekwa mfano mtanzania (mwanaume) ukienda nje kusoma ukimaliza kusoma lazima kupata makaratasi lazima utumie njia kuoa hili ayapate??
Je ukimaliza kusoma ukataka kufanya kazi kwenye nchi hiyo hiyo ulipo soma na ukapata work permit si unaweza kufanya kazi bila kuoa??
Plz naomba jibu.
Ni kweli mkuu, mi nawaona wanaijeria na jamaa wa West Africa walioa wazungu na kwa stats ndogo nilizonazo ni kuwa ndoa hazidumu na wako kwenye kitanzi cha child support. Yani wanabanwa kweli kweli wanalalamika kinoma. Mi sina dream kabisa ya kuwa na dem mzungu no matter what.Inawezekana kabisaa Tatizo watu kutoka Africa wanashindwa kutofautisha kati ya Citizenship na Permanent resident kwa kujua Citizenship ni bora zaidi ya PR kwa mgeni wanashindwa kuvumilia miaka 5 -10 kupata Citizenship wanataka kupata Citizenship kwa muda mfupo ndipo wanajikuta wameoa rejected material kama Wazee,mabonge ,wajane na kujikuta wako under pressure kwani kile wanachokipata wanajikuta mke ndio mpanga matumizi na wanajikuta kwenye pingu za child support nusu ya kipato chote kinakwenda kwa mke
Pia ktk ndoa za kuoa haraka haraka unajikuta umeoa mwanamke ambae no low class yani wanafanya kazi daraja la chini
Lakini ukivumilia miaka 5-10 unaweza kupata uraia bila ya shida nchi nying baada ya kumaliza chuo wanakupa miezi 3 ya kutafuta kazi na ukipata kazi kama ni ya muda mrefu inapata PR tofauti ya mwenye PR na Citizens ni ndogo sana hasa hasa kwenye mambo ya siasa tu yani ww uruhusiwi kupiga kura tu lakini huduma zingine kama Afya, Elimu,Kijamii wote mnakuwa Sawa tu
Faida pekee narudia tena faida pekee ambayo inamfanya mtu mweusi kuoa mzungu ni Faida ya kiuchumi tu nayo siku hz si sana katika takwimu zinaonyesha wanawake na wanaume wa kizungu ambao ni middle class waliooa na kuolewa na watu weusi ni 2.6% out of 100% na wale upper class ni 0.01% out of 100%Ni kweli mkuu, mi nawaona wanaijeria na jamaa wa West Africa walioa wazungu na kwa stats ndogo nilizonazo ni kuwa ndoa hazidumu na wako kwenye kitanzi cha child support. Yani wanabanwa kweli kweli wanalalamika kinoma. Mi sina dream kabisa ya kuwa na dem mzungu no matter what.
asante nimeelewa ila nilitaka uelezee kuhusu kuoa maana wengi waliokwenda wameoa kwa wenda kwa kupenda/bahati mbaya /au kama wengine wanavyoita wameoa "rejected materials"Unajua nchi za wenzetu zipo strict kwenye masuala ya uhamiaji sio kama huku kwetu, mfano Marekani kama ulienda kwa Student visa umapomaliza course yako na visa inapokua imekwisha au hata kama haijesha, unapotaka kutafuta kazi unatakiwa urudi kwenu upya kuomba visa ingine sasa kwa ajili ya shuhuli ingine inayokupeleka, kwa kiswahili chepesi ni kwamba kila visa na matumizi yake, nadhani baadhi yet tulisikia issue iliyomkuta ndugu yetu msanii wa kizazi kipya Ommy Dimpoz. vinginevyo immigration wakikudaka breki ya kwanza kipawa.