Msaada: Kufuatilia meli za mizigo zinazotia nanga Dar port

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Wana JF. Naomba kwa mwenye kujua namna ya ku tracking gargo. Nimesifirisha mzigo wangu kutoka India na kwenye website Yao hawa update kabisa. Msaada please
 
Tumia Bill of Lading au container number utrack kwenye shipping line inayokuletea mzigo, utapata kila kitu.
 
Hello Wana JF. Naomba kwa mwenye kujua namna ya ku tracking gargo. Nimesifirisha mzigo wangu kutoka India na kwenye website Yao hawa update kabisa. Msaada please
Kuna namna mbili za kufanya tracking ya cargo ( loose cargo au container), vehicle n.k.

Moja ni kwenda katika website ya TPA hapo wana update kila meli iliopo kwenye maji kuja Tanzania.

Pili unaweza fanya tracking kwa kwenda Shipping line ya hiyo meli upande wa Tanzania, hii inafanyika endapo mzigo ulifanyiwa transhipment yani walibadilisha meli mzigo ukiwa njiani.

Hivyo vitu viwili vinaweza kukusaidia kufanya tracking ya mzigo wako.

Ukihitaji msaada na huduma zaidi unaweza kunitafuta.

Mimi ni Clearing and Forwarding Agent
 
Mkuu check inbox yako please
 
Back
Top Bottom