Wakuu nilikuwa nahitaji kujua kama vyeti vya form 4 kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2015 kama vimeshatoka kwa sababu nataka kumchukulia mdogo wangu kutokana na kuwa nimepata uhamisho wa kikazi kutoka Mwanza kwenda Ruvuma na yeye yuko shuleni Mbeya.