Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,228
- 75,810
Salam kwa wote.
Nimekuwa natumia simu tajwa hapo sasa tangu ila upande wa internet iko slow name muda mwingi inaandika E ni mara moja tu ndiyo iliandika G.
Maeneo niliyopo huduma ya internet ni nzuri sana maana natumia voda huwa inafikia hatua had I H.
sasa setting nimefanya japo mwanzo nilikuwa natumia GT-S 6102 ilikuwa na kasi mpaka H
Naomba ikiwa nahitajika kufanya maboresho sehemu gani ili iwe na kasi na niifurahie simu kwenye internet. Natanguliza shukrani kwa msaada !