Hii hapa jinsi ya kuweka window kwa kutumia flash

Hii hapa jinsi ya kuweka window kwa kutumia flash

Joined
Nov 27, 2013
Posts
35
Reaction score
15
Hii hapa ni jinsi ya kuweka window kwa
kutumia flash.

1. Tafuta software inaitwa power iso.

2. Install hiyo power iso.

3. Uwe na flash kuanzia gb 4 kama
unawepa windows 7. 4.

Tengeneza image ya windows
kwakutumia power iso au ashampoo
burning.

JINSI YA KUTENGENEZA IMAGE KWA
KUTUMIA POWER ISO.

Weka disk yako ya windows kwenye computer, ikisha display tu, ikate.

Fungua power iso, na kisha nenda
palipoandikwa COPY pabonyeze, kisha chagua MAKE CD/DVD/BD IMAGE FILE.
pabonyeze hapo .
Itaftect yenyewe pale windows ilipo na kisha bonyeza ok, itaanza kutengeneza
yenyewe.

Ikimaliza bonye ok! Hapo image yako
itakuwa katika sehemu imeandikwa
documents.

Itoe huko uiweke kwenye desktop. TUNAENDELEA NA HATUA YA 6
Chomeka flash yako kwenye pc, kisha
fungua power iso.

7. Nenda palipo andikwa TOOLS kisha
nenda palipo andikwa CREAT
BOOTABLE USB DRIVE bonyeza. Hapo.

8. Hapo itaonesha flasha, bila image.

9. Bonyeza kubrowse image kwajuu hapo
na utaipelekea pale image ilipo.

10. Bonyeza start, hapo itaanza
kutengeneza yenye.

11. Subili imalize, ikimaliza hapo inakua tiali.
 
Simpler way, download application inaitwa rufus 2.2 file size yake ni 800kb inafanya vyote hivyo bila tabu
 
Au official tool ya Microsoft, windows usb/dvd download tool

Raha ya hii software ni kwamba pia unaweza kutumia kuinstall hata na Linux au Ubuntu but hata hiyo tool nyingine nzuri.
 
software nyingine ni YUMI hii ndio nyepesi kuliko zote.
 
Hii hapa ni jinsi ya kuweka window kwa
kutumia flash.
1. Tafuta software inaitwa power iso.
2. Install hiyo power iso.
3. Uwe na flash kuanzia gb 4 kama
unawepa windows 7. 4. Tengeneza image ya windows
kwakutumia power iso au ashampoo
burning.
JINSI YA KUTENGENEZA IMAGE KWA
KUTUMIA POWER ISO.
weka disk yako ya windows kwenye computer, ikisha display tu, ikate.
Fungua power iso, na kisha nenda
palipoandikwa COPY pabonyeze, kisha
chagua MAKE CD/DVD/BD IMAGE FILE.
pabonyeze hapo .
Itaftect yenyewe pale windows ilipo na kisha bonyeza ok, itaanza kutengeneza
yenyewe.
Ikimaliza bonye ok! Hapo image yako
itakuwa katika sehemu imeandikwa
documents.
Itoe huko uiweke kwenye desktop. TUNAENDELEA NA HATUA YA 6
Chomeka flash yako kwenye pc, kisha
fungua power iso.
7. Nenda palipo andikwa TOOLS kisha
nenda palipo andikwa CREAT
BOOTABLE USB DRIVE bonyeza. Hapo. 8. Hapo itaonesha flasha, bila image.
9. Bonyeza kubrowse image kwajuu hapo
na utaipelekea pale image ilipo.
10. Bonyeza start, hapo itaanza
kutengeneza yenye,
11. Subili imalize, ikimaliza hapo inakua tiali.



rufus ni the best
 
Last edited by a moderator:
wadau mnaoweka hizo software zngine kama novcrop na rufus mngetuelezea jinc ya kuztumia ingekuwa vzur zaidi
 
nimejaribu kila nikiClick star inaniambia
Please click on the disc button to select a bootable
image, or uncheck the "Create a bootable disk using" checkbox.
sijajua wapi nakosea. Msaada pls
Ni single click tu, unachomeka flash unaload file la windows unaclick start then windows itaingizwa kwenye flash
 
nimejaribu kila nikiClick star inaniambia
Please click on the disc button to select a bootable
image, or uncheck the "Create a bootable disk using" checkbox.
sijajua wapi nakosea. Msaada pls


hapo kweny disc button click ili uchague image (windows)yako unayotaka kuweka kweny flash..
 
samahani mkuu nimebonyeza lakini cha kufanya ndio kinanipa taabu
kama hutajali nipe maelezo rahisi ili nifanikishe hili zoezi
hapo kweny disc button click ili uchague image (windows)yako unayotaka kuweka kweny flash..
 
Back
Top Bottom