Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 473
- 297
Habari zenu wakuu,nilikua ninaomba kama kuna anayefahamu,ni hivi juzi kuna rafiki yangu alikuja na cd yake ya windows 7 ultimate sasa nikai burn kwenye dvd kama file la kawaida,sasa ninataka kubadilisha niweke hii window tatizo ukiweka na kuboot laptop haitambui,nikaja kufahamu kumbe ilitakiwa nitengeze bootable image wakati wa kuburn lakini kwa sababu ya kutokua na ufahamu sikufanya hivyo,nimejaribu kuitumia ile cd kwa kufungu kama file lingine ndani kuna set up kama kawaida na ukizitumia unaingiza windows kama kawaida ila tatiza zile options za kufanya partition na kudelete au kuformat old windows haziji,je kuna njia yoyote ambayo ninaweza kutumia haya mafile na set up zake kutengenezea bootable cd au bootable usb flash?