Karibuni tujifunze

Karibuni tujifunze

Blackman

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
858
Reaction score
343
Ndugu jamaa na marafiki habari za siku? Nadhani ni muda mrefu tokea nilipoandika uzi humu JF.Siku ya leo napenda nitoe somo kuhusu utumiaji wa software 3 ndogo, ambazo machoni mwa watu huoneka hazina umuhimu ila ni muhimu kuliko hata hizi kubwa.

Software hizo ni
1)Ultra ISO
2)Power ISO
3)Windows7-USB-DVD-tool
Naamini kuwa ni wengi hawatumii hizi software kwa sababu hawazijui. Na kuna wengine wanazijua kwa kuziona tu ila hawajui jinsi ya kuzitumia.
Kwanza kabisa mtanisamehe kwa kuwa sina picha wala links.
Nitaanza na Ultra ISO
Ultra ISO ni software ndogo isiyo zidi 4mb lakini inaweza nikusaidie sana. Kwanza ultra iso inaweza kupunguza ukubwa wa software zingine hivyo kukuongezea nafasi ktk computer yako
Pili. Ultra ISO inaweza kutengeneza image za software zingine ambazo unaweza ukatunza kwa muda mrefu bila kuharibiwa hata virus iingie kwenye computer iharibu kila kitu hii image itabaki salama.

Pia unaweza uka compress kitu kingine chochote e.g information zako vitabu vya mashuleni na hadithi ili visiharibiwe pindi uingiliwapo na virus.
Pia unaweza kutengeneza image za Windows ambazo utazitumia kwenye software ya 3 wakati wa kuformat.

POWER ISO. Hii software ina sifa kama za ultra ISO isipokuwa yenyewe inauwezo wa kutengeneza bootable flash pia

3)Windows7-USB-DVD-tool. Hii inasaidia sana pale unapoamua kuformat computer yako halafu huna hela au unayo ila ina badget nyingine. Badala ya kuhangaika kutafuta hela au kuomba msaada kwa rafiki unaweza kutumia memory card yako,flash disk au external hard drive

Jinsi ya kutengeneza bootable flash au bootable memory card. Download Windows7-USB-DVD-tool. Ukisha download iinstall, chomeka flash yako au MMC.Fungua software yako uliyoinstall utaona kibox pembeni kuna neno Browse. Minya neno Browse chagua image yako halafu minya neno "open"halafu minya neno "USB device" ikimaliza chomoa flash yako itakuwa tayari

Unaweza pia kutumia Power ISO kutengeneza bootable flash isipokuwa yenyewe iko slow kidogo kuliko hiyo No.3
Jinsi ya kutengeneza image kwa ajiri ya kutumia kutengeneza bootable flash

Fungua ultra iso yako, ikishafunguka kwa juu utaona maneno haya(File,Actions,Bootable,Tools,Options,Help)kwenye Tools kwa chini utaona alama ya cd ikiwa juu box ukipeleka mouse pale maneno haya yanatokea(Make CD/DVD Image) minya hapo kitakachotokea minya "make" kufikia hapo utakuwa umemaliza. Kila la heri ndugu zangu
Maswali yanaruhusiwa
 
Mkuu, unafikiri tunatumia nini ku-extract files tunazodownload kutoka kwenye ma-torrents? kwa upande wangu nilichokiona tofauti kubwa kati ya PowerIso na UltraIso ni kwamba UltraIso ina support aina nyingi zaidi ya file format, otherwise siyo tofauti kubwa vile.
 
  • Thanks for sharing Whiteman
  • Kwa muda mrefu nilikuwa nikitumia ultraISO ili kupata virtual CDRom kwa windows 7
  • ​Ila tangu nilipoanza tumia windows 8. Sijatumia tena hizo tools
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, unafikiri tunatumia nini ku-extract files tunazodownload kutoka kwenye ma-torrents? kwa upande wangu nilichokiona tofauti kubwa kati ya PowerIso na UltraIso ni kwamba UltraIso ina support aina nyingi zaidi ya file format, otherwise siyo tofauti kubwa vile.

mkuu kumbuka si wote wenye uwezo wa kushusha ma-torrents
 
Back
Top Bottom